Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 12,699
- 22,598
Naona Niffer alikosea kutoihusisha CCM! Sasa hivi utasikia Mwigulu anasema michango ya harusi ikatwe kodi!Labda serikali inaona michango ya majanga ikichangishwa na mtu binafsi kuna bakhshishi itabaki kwa mkusanya michango kama faida haitaenda yote kwa wahanga na kufanya majanga ni fursa ya kupata fedha
Naona ni janga la kitaifa, maana jamaa anaoa na anatembeza tu wakati ana mchumba na ako kwenye mipango ya ndoa, national electricity grid extension!Ni mchango wa harusi au wa janga la kitaifa!?
Hee, nimejiabisha kusema nimechacha? Mie sio wewe bwana, unaopenda kuonyesha unazo!Hii nchi ina.viazi
Wewe ni mwanaume mkuu?
Unajiaibisha
unaelewa maana ya neno MAAFAJamani, kuna mtu katupiga Tshs 60m mchango wa harusi. Sasa mie nashindwa kuelewa kama aliomba kibali cha serikali kama anavyosema Waziri Mkuu Majaliwa. Kama hakuomba na hairuhusiwi nijiwahi nikadai hela yangu, maana nilimpa wakati ninazo sasa nimechacha!
Bia ya ngapi hiyo upo muda huu bro?...rudi hom mazee mapema.Jamani, kuna mtu katupiga Tshs 60m mchango wa harusi. Sasa mie nashindwa kuelewa kama aliomba kibali cha serikali kama anavyosema Waziri Mkuu Majaliwa. Kama hakuomba na hairuhusiwi nijiwahi nikadai hela yangu, maana nilimpa wakati ninazo sasa nimechacha!
Matokeo ya mtihani wa form two yameshatoka?Jamani, kuna mtu katupiga Tshs 60m mchango wa harusi. Sasa mie nashindwa kuelewa kama aliomba kibali cha serikali kama anavyosema Waziri Mkuu Majaliwa. Kama hakuomba na hairuhusiwi nijiwahi nikadai hela yangu, maana nilimpa wakati ninazo sasa nimechacha!
Kwa kweliHii nchi ina.viazi
Wewe ni mwanaume mkuu?
Unajiaibisha
Sijatoboa! Dah, mnaooa kwa msaada wa watu mpo wengi!Matokeo ya mtihani wa form two yameshatoka?
Eti wanasema ndoa ni janga la kitaifaUjinga mzigo harusi na maafa ya kitaifa wapi na wapi