Kuna mtu katuchangisha Shs milioni 60 za harusi, nyingi zaidi ya hela alizochangisha Niffer; sijui kaomba kibali serikalini?

Synthesizer

Platinum Member
Joined
Feb 15, 2010
Posts
12,699
Reaction score
22,598
Jamani, kuna mtu katupiga Tshs 60m mchango wa harusi. Sasa mie nashindwa kuelewa kama aliomba kibali cha serikali kama anavyosema Waziri Mkuu Majaliwa. Kama hakuomba na hairuhusiwi nijiwahi nikadai hela yangu, maana nilimpa wakati ninazo sasa nimechacha!
 
Labda serikali inaona michango ya majanga ikichangishwa na mtu binafsi kuna bakhshishi itabaki kwa mkusanya michango kama faida haitaenda yote kwa wahanga na kufanya majanga ni fursa ya kupata fedha
 
Naona Niffer alikosea kutoihusisha CCM! Sasa hivi utasikia Mwigulu anasema michango ya harusi ikatwe kodi!
 
Umetoa mwenyew kwa ajili ya kujipendekeza ndugu jipendekeze kwa YESU pekee Nunua hata Miche miwili ya sabuni nenda hospital wapatie wenye mahitaji
 
Jamani, kuna mtu katupiga Tshs 60m mchango wa harusi. Sasa mie nashindwa kuelewa kama aliomba kibali cha serikali kama anavyosema Waziri Mkuu Majaliwa. Kama hakuomba na hairuhusiwi nijiwahi nikadai hela yangu, maana nilimpa wakati ninazo sasa nimechacha!
unaelewa maana ya neno MAAFA
 
Jamani, kuna mtu katupiga Tshs 60m mchango wa harusi. Sasa mie nashindwa kuelewa kama aliomba kibali cha serikali kama anavyosema Waziri Mkuu Majaliwa. Kama hakuomba na hairuhusiwi nijiwahi nikadai hela yangu, maana nilimpa wakati ninazo sasa nimechacha!
Bia ya ngapi hiyo upo muda huu bro?...rudi hom mazee mapema.
 
Jamani, kuna mtu katupiga Tshs 60m mchango wa harusi. Sasa mie nashindwa kuelewa kama aliomba kibali cha serikali kama anavyosema Waziri Mkuu Majaliwa. Kama hakuomba na hairuhusiwi nijiwahi nikadai hela yangu, maana nilimpa wakati ninazo sasa nimechacha!
Matokeo ya mtihani wa form two yameshatoka?
 
Back
Top Bottom