Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huwa sipo upande wa bashite hata afanyeje, ila katika hili amenifurahisha. It doesn't matter kiasi gani kimetumika, hata kama kimetoka serikalini au kwa wafadhili au watu wenyewe wamejitegemea, cha muhimu ni kwamba event aliyoifanya ni bora sana na anatakiwa kupongezwa.Mafuta , matengenezo, matangazo,posho na n.k kwa magari zaidi ya 1000 huu pesa inawashwa kibiriti kisa tu ni kunshindana na wajerumani waliona uchumi mkubwa zaidi ulaya na wanaosadia bajeti yetu ya kitaifa
USSR
Ambae hana pesa ni wewe, punguza malalamiko acha wenye class zao wafanye show. Hao ndio wana drive uchumi wa jijiMafuta, matengenezo, matangazo,posho na n.k kwa magari zaidi ya 1000 huu pesa inawashwa kibiriti kisa tu ni kunshindana na wajerumani waliona uchumi mkubwa zaidi Ulaya na wanaosadia bajeti yetu ya kitaifa.
USSR
Kwenye ili mkae kimya Makonda kapiga kwenye mshono ni mshindi.Mafuta, matengenezo, matangazo,posho na n.k kwa magari zaidi ya 1000 huu pesa inawashwa kibiriti kisa tu ni kunshindana na wajerumani waliona uchumi mkubwa zaidi Ulaya na wanaosadia bajeti yetu ya kitaifa.
USSR
Fuatilia huyo mleta uzi huwa ni wa chama gani. Au ni mambo migambo wanaruka na kukanyagana?Muda mwingine chadema hua akili zao bana , makonda kawapita kwenye ubunifu maana kampeni zenu zote baada ya slaa hakuna iliyofanikiwa , makonda ana matatizo yake lakini kwenye hilo kapiga bao mchana kweupe
Lucas hayupo?Mafuta, matengenezo, matangazo,posho na n.k kwa magari zaidi ya 1000 huu pesa inawashwa kibiriti kisa tu ni kunshindana na wajerumani waliona uchumi mkubwa zaidi Ulaya na wanaosadia bajeti yetu ya kitaifa.
USSR
Kwahiyo wenye pesa tuendelee kuwakandamiza nyie.Ila wakuu, kama ww huna pesa haina maana kuwa na wengine hawana pesa.
NdioKwahiyo wenye pesa tuendelee kuwakandamiza nyie.
Hayo maigizo yatakuwa yametafuna zaidi ya milioni 500, nje tu ya Arusha pale Monduli hakuna maji, barabara, madawati, madawa n.kMafuta, matengenezo, matangazo,posho na n.k kwa magari zaidi ya 1000 huu pesa inawashwa kibiriti kisa tu ni kunshindana na wajerumani waliona uchumi mkubwa zaidi Ulaya na wanaosadia bajeti yetu ya kitaifa.
USSR