Bp ya nini tena?Labda kama una hamu ya kujisajili na BP
mambo husna?Habari za weekend wana jf
Mwenzenu kuna MTU nimemzimia humu jf
Nikiona thread yake tu mapigo ya moyo yanabadilika, basi nitairudia kuisoma hiyo thread yani najiona ka Niko nae
Nilifikilia kumfuata pm but baadae nikaogopa nikaona anaweza akanuna akaja kunianika
Huku
Nifanye ñn?
Mwenyewe jina lake linaanzia na DHuyo kama sio mimi atakuwa Stunter
[emoji15]Kama umemzimia mfie kabisa
[emoji1] [emoji1] [emoji1] yes thanks! Nimeipenda hiiFungua ID nyingine kisha mtokee....akikuanika poa tu unarudi jukwaani na ID yako bi husna muba
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] hii Kali kulikoKazimika na avatar
Ujue kuna wanaume wana avatar nzuri mpaka unatamani akuqoute hata akutusi tuu
Husna lakini hunainong'oneza ni nani bhana[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] hii Kali kuliko
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] is not you banaaNishatajwa tayari
Tafadhali rejea comment ya STUNTER kuhusu mazombi kitoshiba damuHe! Kwahiyo hata km demu Hujampenda unakubali tu?!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]zimekufanya upendwe na comments zako [emoji23]
Shunie agiza novida hapo kwa mangi naja kulipA[emoji1] [emoji1]hahahhh nahisi sura yoyote utakayokua nayo ameridhika nayo akutane na mbaya kama masoud sawa akutane na nzuri sawa [emoji23] yy kakupenda tu
he he sante dear Daby ukuje huku unaitwaShunie agiza novida hapo kwa mangi naja kulipA[emoji1] [emoji1]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] is not you banaa
Daby [emoji23]Mwenyewe jina lake linaanzia na D
Naitwa na nani?he he sante dear Daby ukuje huku unaitwa
na husna [emoji23]Naitwa na nani?
husna muba eti unaniita! !na husna [emoji23]