Kuna mtu nimemzimikia

Kuna mtu nimemzimikia

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Utakua miongoni mwa wale walewa nje ya nchi, si kwa kauli hizi
Ilan sidhani kama wewe ni wa kunichongea niitwe central?
 
Ilan sidhani kama wewe ni wa kunichongea niitwe central?
Naona mlio wengi mnazunguka tuuuu lakini mwenye ujumbe wake anavunga.


STUNTER, kwa mujibu wa maelezo ya mleta maada, na dalili zake, stunter ni nuhusika mkuuu

Tafiti zinaonyesha kuwa kiumbe aina ya stunter kinaongoza kwa kuwaumiza viumbe aina ya mademu
 
Mwambie tu hawezi kuleta huku ujinga huo maana humu hatukai na watoto wasiojua kutongoza au kutongozwa.
 
kwa kuwa mi sio muanzishaji wa threads mbalimbali nimejitoa kwa kujihisi
wanaoanzishaga mada saa hiz vimoyo vinawaenda mbio ila mimi walaaaaa maana sikumbuki mara ya mwisho kuanzisha mada humy ilikuwa lini.
 
katika maisha yako, jitahidi kuwa mtu unayethubutu, hebu msemeshe halafu utuletee mrejesho humu humu
 
Back
Top Bottom