Perpendicular
JF-Expert Member
- Jul 5, 2015
- 1,494
- 1,183
Nitakuwa mimi tu.Kwan umeambiwa ni wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitakuwa mimi tu.Kwan umeambiwa ni wewe
Ilan sidhani kama wewe ni wa kunichongea niitwe central?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Utakua miongoni mwa wale walewa nje ya nchi, si kwa kauli hizi
Hahaha, mkuu mimi huwa si'date na mademu waoga namna hiyo, yani kutiririka tu anashindwa?nahisi kma nakutaka wewe umtie midude ya pakstan
Yeah anaitwa Husna, But nimetumia Madame as usual as wengine wanavyotumia SIRUyo si anaitwa husna?
Yeah anaitwa Husna, But nimetumia Madame as usual as wengine wanavyotumia SIRUyo si anaitwa husna?
Ndio manaake mkuu
Mimi sipendeki mkuuHalafu nadhani ni wewe
Unajitenga na nature ya kiume? Unataka kuwa nani shem?Zombie ni wewe shem, wengine hatuna papara
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Ngoja niangalie mwenye uelekeo wa kuwa na pesa nyingi humu JF!
Oooh kumbe!!Mliachana hadi ikasababisha ukabadili ID hapa JF![emoji1]
[emoji12] [emoji12] [emoji12] ndio mmi babaAre you miss_blossom i used to know?!!
Naona mlio wengi mnazunguka tuuuu lakini mwenye ujumbe wake anavunga.Ilan sidhani kama wewe ni wa kunichongea niitwe central?
Mi nimeanza kukupenda siku hizi.Mimi sipendeki mkuu
wanaoanzishaga mada saa hiz vimoyo vinawaenda mbio ila mimi walaaaaa maana sikumbuki mara ya mwisho kuanzisha mada humy ilikuwa lini.kwa kuwa mi sio muanzishaji wa threads mbalimbali nimejitoa kwa kujihisi
We jamaa si una mke humu ndani?ngoja nimuiteKwanza hakuna Mwanaume anayekataa papuchi,
Madame sisi ni mazombie,
na sikuzote zombie halishibi damu
mwambie ebo![emoji4] [emoji4] [emoji4] toa ushauri banaa