Kuna mtu nimemzimikia

Kuna mtu nimemzimikia

sakayo manga kaongea point ujue unakumbuka kuna siku tupo na Babu tulifukuzwa kwenye uzi wa watu hahahhh walianza wapambe mwenye thread akamalizia tukajifanya kama hatuoni
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
hahahahh husna tulifukuzwa sitasahau mwenye thread alikua kimya bada ya makelele ya wapambe ikabidi aongee na yy basi kama hatusikii tunaendelea kuchat mpk hamu ilivyoisha
 
Back
Top Bottom