Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
hahahhh si kwa mashahiri yaleYaani nimetoka kapa, hayo maneno aliniambia wakati nikiwa binti Leo ameyarudia ya nini sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahhh si kwa mashahiri yaleYaani nimetoka kapa, hayo maneno aliniambia wakati nikiwa binti Leo ameyarudia ya nini sasa
siongelei uchawi kama uchawi.. naongelea uchawi wa mapenzi .. yani anajiweka karibu hadi anaiteka roho yako..ndio maana amegeuka mtunga mashairi.. hio gia ikikataa atakuja na nyimbo ikikataa atakuja na movie mpaka akupatieMie silogeki ninae Mungu
aisee..mboan sikuji au wewe ni mchepuko? na dada yangu huwa hafichagi mambohuna undugu na espy kama unao mi ni shemeji yako
na huna ruhusa ya kuchagua shemeji
espyDaby ukuje
ina maan alishammwaga Daby ? sas kama ni wako mbona mashairi mengi. vipiespy
1)naona hutaki kunitambulisha kwa rafiki zako
2) kama umenitambulisha rafiki zako hawanitaki
3) kutonitaka wao haimaanishi na wewe hunitaki
4) kutonitaka wewe haimaanishi sikutaki
5) ningekua sikutaki ningekwambia
6) ni bora uachane na hao marafiki zako kuliko kutengana na mimi
Khaaaa babu asprin wa piliespy
1)naona hutaki kunitambulisha kwa rafiki zako
2) kama umenitambulisha rafiki zako hawanitaki
3) kutonitaka wao haimaanishi na wewe hunitaki
4) kutonitaka wewe haimaanishi sikutaki
5) ningekua sikutaki ningekwambia
6) ni bora uachane na hao marafiki zako kuliko kutengana na mimi
Barabara ya kufika huku ni mbaya ila usijali ipo kwenye matengenezo soon zitaanza kufikahaaha ha ,, na nilikuchokoza maksudi.. sasa mbona pm zangu hazifik kwako?
Muda si mrefu tutamalizanahahahhh honey faith ukuje umalizane na Saint Ivuga
Acha fix number yangu unayo nipo tayari kwa wakala nasubiria huo mtonyohajatuma namba
Hologeki kweli mpaka moyo unamsukuma babu badala ya dam?Mie silogeki ninae Mungu
Anakudanganya keshalegea huyunimefurahi hapo uliposema kuhusu mashahiri ya babu haujaelewa chochote hivi kweli dada mashahiri yote haujaambulia ata kimoja
Namshangaa miehahahhh si kwa mashahiri yale
hujanipa namba .. au mwambie shuni anipe yake nimtumie yeye afu atakupaAcha fix number yangu unayo nipo tayari kwa wakala nasubiria huo mtonyo
ha ha ah keshaingia kingiHologeki kweli mpaka moyo unamsukuma babu badala ya dam?
haupo serious .. ungejua screen saver yangu ni miguu adimu hio usingenyamaza huko pmMuda si mrefu tutamalizana
mwendo wa mashairi... sijui na mm nimtungie honey..?Khaaaa babu asprin wa pili
Hehehesiongelei uchawi kama uchawi.. naongelea uchawi wa mapenzi .. yani anajiweka karibu hadi anaiteka roho yako..ndio maana amegeuka mtunga mashairi.. hio gia ikikataa atakuja na nyimbo ikikataa atakuja na movie mpaka akupatie