Kuna mtu nimemzimikia

Kuna mtu nimemzimikia

espy
1)naona hutaki kunitambulisha kwa rafiki zako
2) kama umenitambulisha rafiki zako hawanitaki
3) kutonitaka wao haimaanishi na wewe hunitaki
4) kutonitaka wewe haimaanishi sikutaki
5) ningekua sikutaki ningekwambia
6) ni bora uachane na hao marafiki zako kuliko kutengana na mimi
ina maan alishammwaga Daby ? sas kama ni wako mbona mashairi mengi. vipi
 
espy
1)naona hutaki kunitambulisha kwa rafiki zako
2) kama umenitambulisha rafiki zako hawanitaki
3) kutonitaka wao haimaanishi na wewe hunitaki
4) kutonitaka wewe haimaanishi sikutaki
5) ningekua sikutaki ningekwambia
6) ni bora uachane na hao marafiki zako kuliko kutengana na mimi
Khaaaa babu asprin wa pili
 
siongelei uchawi kama uchawi.. naongelea uchawi wa mapenzi .. yani anajiweka karibu hadi anaiteka roho yako..ndio maana amegeuka mtunga mashairi.. hio gia ikikataa atakuja na nyimbo ikikataa atakuja na movie mpaka akupatie
Hehehe
Mie ndo basi tena, sio wa kunitenda vile mie[emoji174]
 
Back
Top Bottom