Hebu iweke vizuri hii komenti yako mkuu. Yani Kwa miaka yote tangu tupate uhuru au miaka ya juzijuzi hapa 2005 na kuendelea?.Tanzania ukimtoa Edward Lowassa hatujawahi kupata viongozi wenye akili.
IPO wazi Lowassa ndo kiongozi pekee alikuwa na akiliHebu iweke vizuri hii komenti yako mkuu. Yani Kwa miaka yote tangu tupate uhuru au miaka ya juzijuzi hapa 2005 na kuendelea?.
You may have your comedian opinion, but it doesn’t qualify as that of an intellectual person, sorry.IPO wazi Lowassa ndo kiongozi pekee alikuwa na akili
Kwa kawaida binadamu ambae sio smart kichwani Huwa hajui kutofautisha alikotoka na alipo na anakokwenda.Anaishi kama mnyama Kwa kuangalia Changamoto za Leo Leo.Kila Muhula wa Rais mpya wananchi wanasiasa huponda kwakila jambo linalowagusa,
Lakini Rais amalizapo tu miaka yake ya uongozi watu umkumbuka nakusema Bora yake kuliko huyu wa Sasa😁
Hata huyu wa Sasa ngoja amalize miaka yake utasikia milio namapambio yawale wale waliombeza
Kweli, mapenzi ni upofu.Tanzania ukimtoa Edward Lowassa hatujawahi kupata viongozi wenye akili.
Hahaha… Mkuu, huenda una hoja, lakini mark my words, it won’t work out for this regime in the future. Maana utawala huu umeshakataliwa mbinguni na duniani.Kila Muhula wa Rais mpya wananchi wanasiasa huponda kwakila jambo linalowagusa,
Lakini Rais amalizapo tu miaka yake ya uongozi watu umkumbuka nakusema Bora yake kuliko huyu wa Sasa😁
Hata huyu wa Sasa ngoja amalize miaka yake utasikia milio namapambio yawale wale waliombeza
Kumbe umeona huu upumbavuKila Muhula wa Rais mpya wananchi wanasiasa huponda kwakila jambo linalowagusa,
Lakini Rais amalizapo tu miaka yake ya uongozi watu umkumbuka nakusema Bora yake kuliko huyu wa Sasa😁
Hata huyu wa Sasa ngoja amalize miaka yake utasikia milio namapambio yawale wale waliombeza
Kwani aliyekuwepo hakuacha kwenye deni kubwa??Ni ujinga wa CCM , hawana viongozi wa maana. Sasa huyu aliondoka ataiacha nchi kwenye deni kubwa Sana.
Deni ndio linafanya Kiongozi asiwe wa maana?Ni ujinga wa CCM , hawana viongozi wa maana. Sasa huyu aliondoka ataiacha nchi kwenye deni kubwa Sana.
Ndio maana nimeandika hapo Juu ,Nchi imejaa vilaza hata hawajui wanaongea nini.Kwani aliyekuwepo hakuacha kwenye deni kubwa??
Weka madeni yao hapa
Na ndiyo kinaendelea Tanzania kwa sasa. Hata wale CHADEMA waliokataliwa shughuli za siasa na Magufuli, wakatupwa jela, wakanyang'anywa fedha zao, wakatekwa na kuuliwa leo wanasema bora Magufuli kuliko Samia.Kila Muhula wa Rais mpya wananchi wanasiasa huponda kwakila jambo linalowagusa,
Lakini Rais amalizapo tu miaka yake ya uongozi watu umkumbuka nakusema Bora yake kuliko huyu wa Sasa😁
Hata huyu wa Sasa ngoja amalize miaka yake utasikia milio namapambio yawale wale waliombeza
Ozon Umefika lini mbinguni? Au ulienda safari pamoja na Mfalme Zumaridi??Hahaha… Mkuu, huenda una hoja, lakini mark my words, it won’t work out for this regime in the future. Maana utawala huu umeshakataliwa mbinguni na duniani.
Wapumbavu kabsaaNa ndiyo kinaendelea Tanzania kwa sasa. Hata wale CHADEMA waliokataliwa shughuli za siasa na Magufuli, wakatupwa jela, wakanyang'anywa fedha zao, wakatekwa na kuuliwa leo wanasema bora Magufuli kuliko Samia.
Mkuu una hoja, nimeipokeaOzon Umefika lini mbinguni? Au ulienda safari pamoja na Mfalme Zumaridi??
Watu mnajipa umuhimu msiokuwa nao. Hapa duniani penyewe huna takwimu za wangapi wanamkubali Samia na wangapi wanamkataa, sembuse ya mbinguni?