Dogoli kinyamkela
JF-Expert Member
- Nov 21, 2024
- 2,858
- 5,123
Ata sijui Mimi mwenyewe mgeni 😂😂Kwani ni nini kinaendelea?
View attachment 3675033
Acha tuone labda tutapata maoni kwa wadau hapa 😎😎Ata sijui Mimi mwenyewe mgeni 😂😂
Sawa mkuuAcha tuone labda tutapata maoni kwa wadau hapa 😎😎
Atujasema ivyo sisi mkuu 😂Mnataka kusema ni kweli anapakuliwa?
Hakuna nn mkuu 😂 😂Hiyo sio gari ya kumiliki eti kisa wewe ni shoga. Hakuna tako la kukupa hiyo pesa hata uligawe miaka 1000
Hata mgawe makalio familia nzima kama sio ukoo, hamuwezi kuchangusha 2.3B.Hakuna nn mkuu 😂 😂
😂😂😂😂😂😂🏃🏾♂️🏃🏾♂️🏃🏾♂️Hata mgawe makalio familia nzima kama sio ukoo, hamuwezi kuchangusha 2.3B.
Kuna muda kumtetea Ommy Dimpoz ni ngumu sana imagine Hii chuma inaitwa Mercedes Maybach G-Class ya 2023 na bei yake ni Tsh. 2.3B na Bongo inamilikiwa na DIMPOZ tu na jana ilikua Masaki inazurula ndiyo chuma ya BEI inayomilikiwa na Msanii EAC ni bei kuliko Rolls-Royce ya DIAMONDView attachment 3675030