Kuna muda kumtetea Ommy Dimpoz ni ngumu sana

Kuna muda kumtetea Ommy Dimpoz ni ngumu sana imagine Hii chuma inaitwa Mercedes Maybach G-Class ya 2023 na bei yake ni Tsh. 2.3B na Bongo inamilikiwa na DIMPOZ tu na jana ilikua Masaki inazurula ndiyo chuma ya BEI inayomilikiwa na Msanii EAC ni bei kuliko Rolls-Royce ya DIAMONDView attachment 3675030
Watanzania wengi ufahamu wetu ni wamashaka sana yaani kisa mtu anamiliki kitu cha kifaharì na wewe huna basi unaamua tu kutafuta zenge na kuntupia ...

Huyo ommy dimpoz anakampuni ya matakazo na billboard na anatenda za kutosha GSM(yaani kampuni zote chini ya GSM) matabgazo yote ni yake na kampuni nyingine pia zinampa deals anakosaje kuwa na hela sasa..
 
Kuna muda kumtetea Ommy Dimpoz ni ngumu sana imagine Hii chuma inaitwa Mercedes Maybach G-Class ya 2023 na bei yake ni Tsh. 2.3B na Bongo inamilikiwa na DIMPOZ tu na jana ilikua Masaki inazurula ndiyo chuma ya BEI inayomilikiwa na Msanii EAC ni bei kuliko Rolls-Royce ya DIAMONDView attachment 3675030
Hii gari imefanyiwa upgrade mkuu sio maybach.
 
Kuna muda kumtetea Ommy Dimpoz ni ngumu sana imagine Hii chuma inaitwa Mercedes Maybach G-Class ya 2023 na bei yake ni Tsh. 2.3B na Bongo inamilikiwa na DIMPOZ tu na jana ilikua Masaki inazurula ndiyo chuma ya BEI inayomilikiwa na Msanii EAC ni bei kuliko Rolls-Royce ya DIAMONDView attachment 3675030

Kazini kwake kuna kazi. Ndio maana hela kwake sio issue..ila sasa ramani kusomeka au la, hiyo shida yetu sisi 😂 😂 😂 😂

Yeye bora apande hiyo benzi. Inawezekana akishuka baada ya matembezi yake, wanapanda wenye nayo...sijui wanapandaje lakini. Na hizi ni tetesi..sio habari kamili
 
Kuna muda kumtetea Ommy Dimpoz ni ngumu sana imagine Hii chuma inaitwa Mercedes Maybach G-Class ya 2023 na bei yake ni Tsh. 2.3B na Bongo inamilikiwa na DIMPOZ tu na jana ilikua Masaki inazurula ndiyo chuma ya BEI inayomilikiwa na Msanii EAC ni bei kuliko Rolls-Royce ya DIAMONDView attachment 3675030
Hizi vyuma si ndio zile ukiangalia viclip vya rich people i Dubai vimepaki uani kama vinne hivi mixer na mi rolls Royce...aisee umenifungua jambo
 
Back
Top Bottom