Kuna muda kumtetea Ommy Dimpoz ni ngumu sana

Kuna muda kumtetea Ommy Dimpoz ni ngumu sana

Wakati nakua, when I was about 14-15, nilikuwa na tabia ya kupitia bookshelf ya nyumbani. Kulikuwa na vitabu fulani vya management na business baba yangu alikuwa anapenda kusoma, nikawa navipitia vile rahisi rahisi zaidi.

Kimoja kilinivutia kilikuwa kinaitwa "Swim With The Sharks Without Being Eaten Alive: Outsell, Outmanage, Outmotivate and Outnegotiate Your Competition".

View attachment 3675089

Kitabu hiki cha Mmarekani Harvey Mackay kilinivutia sana kwa sababu kilikuwa kinaenda straight to the point kikielezea mambo makubwa, kwa maneno machache sana, kimantiki sana.

Moja ya somo kubwa nililojifunza mpaka leo nakumbuka, bwana Mackay alifundisha somo kuwa, gari kwa kiasi kikubwa ni liability inayopungua thamani kila muda unavyopita, na nyumba ni asset inayopanda thamani muda unavyopita. Akasema nunua magari yasiyo na thamani kubwa sana, lakini nyumba za thamani kubwa. Sababu yake ilikuwa gari mostly ni liability, linapungua thamani kila muda unavyopita, na nyumba inapanda thamani.

Sasa baada ya kuelewa somo hilo tangu nikiwa na miaka hiyo, nikiona watu wanashobokea magari kama utajiri nashangaa.

Naam, kuna watu wanapenda magari kwa sababu ya performance, legacy, etc. Mimi pia naendesha German cars BMW X5 na Mercedes Benz GLE 450 4Matic. Lakini si kwa showoff wala Status Anxiety. Sioni kuwa gari ni utajiri. Haya yapo kwenye uwezo wangu, napenda the features, pia haya ni magari nayajua yalikuwapo nyumbani tangu nakua, siigi kwa kuona kwenye music video.

Ila wabongo wengi wana ulimbukeni wa kuona gari ni utajiri bado.


Kwa ughaibuni naona serikali zina sera nzuri , sera za kodi zipo vizuri kwenye kumiliki magari...

Huko US hata kipato cha mmarekani mmoja mmoja kipo juu, na wana mifumo mizuri ya mikopo...
Mfano mdogo tu, kwa Tanzania mtu akuige kumiliki hio X5 na GLE , effort atakayotumia ni kubwa kiasi cha kuteteresha hata uchumi wake..

Ughaibuni gari ni nyenzo muhimu kiuchumi, huku Africa watawala wanaona gari ni kitu luxury...


Kiuhalisia bongo na nchi hizi za Kiafrika kumiliki magari ya kifahari ni basi tu watu wana force, lakini kiuhalisia kodi si rafiki kabisa.... maana gari bado inatafsiriwa kama luxury good... Ndio maana huku bongo kumiliki Ford Ranger unaonekana tajiri..

Msanii anamuona Jay Z anaendesha Rolls Royce na yeye ana force apate.. 🤣 hata kama ni ya 2010..

Halafu anapita nayo mtaani raia wanaona utasikia "aisee jamaa ana pesa sana, umeona ile rolls royce anamiliki?" Kiukweli bongo bado tupo gizani sana sana....
 
Kuna muda kumtetea Ommy Dimpoz ni ngumu sana imagine Hii chuma inaitwa Mercedes Maybach G-Class ya 2023 na bei yake ni Tsh. 2.3B na Bongo inamilikiwa na DIMPOZ tu na jana ilikua Masaki inazurula ndiyo chuma ya BEI inayomilikiwa na Msanii EAC ni bei kuliko Rolls-Royce ya DIAMONDView attachment 3675030
Kwahyo mqundu wake unamlipa?
 
Nafikiri tutafute pesa. Ukiweka juhudi, bidii na nia ya kweli, mafanikio lazima yataonekana.

Lakini kweli, shoga apewe gari la bilioni 2.5 kisa tu ana sehemu ya kutolea kinyesi? 😂😂 Hapa kuna vitu havijaenda sawa kabisa!
 
Kuna muda kumtetea Ommy Dimpoz ni ngumu sana imagine Hii chuma inaitwa Mercedes Maybach G-Class ya 2023 na bei yake ni Tsh. 2.3B na Bongo inamilikiwa na DIMPOZ tu na jana ilikua Masaki inazurula ndiyo chuma ya BEI inayomilikiwa na Msanii EAC ni bei kuliko Rolls-Royce ya DIAMONDView attachment 3675030
Kwa hiyo anaemgonga anahonga mabilioni?..pambaneni wasccenge nyinyi,kazi kufuata upuuzi wa mange na dudubaya tu
 
Wabongo wengi unawachota hata kwa Maybach la North Korea, maana la Mchina afadhali.

Wengi wakipewa story tu wanaibugia.

Mfano, hakuna Maybach G-Wagon la mwaka 2023.

Lakini, wanaoweza kuhoji hilo ni wachache sana.
La NK kwa Kim jr 😆
 
La NK kwa Kim jr 😆

Maana afadhali hata South Korea unaweza kusema labda Hyundai kachukua contract.

Hilo North Korea unaambiwa kwa Kiduku mwenyewe, unaweza kukuta gari lina silaha za nuclear, ukiwasha tu, kombora linakutupilia baharini huko, wamekosea michoro 😂😂

Nakuona tu leo umetoa uvivu wa ku comment, umechoka ku like tu?
 
Kuna muda kumtetea Ommy Dimpoz ni ngumu sana imagine Hii chuma inaitwa Mercedes Maybach G-Class ya 2023 na bei yake ni Tsh. 2.3B na Bongo inamilikiwa na DIMPOZ tu na jana ilikua Masaki inazurula ndiyo chuma ya BEI inayomilikiwa na Msanii EAC ni bei kuliko Rolls-Royce ya DIAMONDView attachment 3675030
Chombo ya GSM hiyo
 
Wakati nakua, when I was about 14-15, nilikuwa na tabia ya kupitia bookshelf ya nyumbani. Kulikuwa na vitabu fulani vya management na business baba yangu alikuwa anapenda kusoma, nikawa navipitia vile rahisi rahisi zaidi.

Kimoja kilinivutia kilikuwa kinaitwa "Swim With The Sharks Without Being Eaten Alive: Outsell, Outmanage, Outmotivate and Outnegotiate Your Competition".

View attachment 3675089

Kitabu hiki cha Mmarekani Harvey Mackay kilinivutia sana kwa sababu kilikuwa kinaenda straight to the point kikielezea mambo makubwa, kwa maneno machache sana, kimantiki sana.

Moja ya somo kubwa nililojifunza mpaka leo nakumbuka, bwana Mackay alifundisha somo kuwa, gari kwa kiasi kikubwa ni liability inayopungua thamani kila muda unavyopita, na nyumba ni asset inayopanda thamani muda unavyopita. Akasema nunua magari yasiyo na thamani kubwa sana, lakini nyumba za thamani kubwa. Sababu yake ilikuwa gari mostly ni liability, linapungua thamani kila muda unavyopita, na nyumba inapanda thamani.

Sasa baada ya kuelewa somo hilo tangu nikiwa na miaka hiyo, nikiona watu wanashobokea magari kama utajiri nashangaa.

Naam, kuna watu wanapenda magari kwa sababu ya performance, legacy, etc. Mimi pia naendesha German cars BMW X5 na Mercedes Benz GLE 450 4Matic. Lakini si kwa showoff wala Status Anxiety. Sioni kuwa gari ni utajiri. Haya yapo kwenye uwezo wangu, napenda the features, pia haya ni magari nayajua yalikuwapo nyumbani tangu nakua, siigi kwa kuona kwenye music video.

Ila wabongo wengi wana ulimbukeni wa kuona gari ni utajiri bado.
Hap Bongo kama sio Tajiri umiliki gari? Thubutu kwenye hili nakupinga, tunaishi maisha magumu Sana, Uwezo wa kumiliki hadi umiliki gari ya Tsh 30m ni mtiti na wengi angalau ni wale wa mifumo ya uchelushaji ila Sisi machinga ni kazi sana
 
Hap Bongo kama sio Tajiri umiliki gari? Thubutu kwenye hili nakupinga, tunaishi maisha magumu Sana, Uwezo wa kuzaa hadi umiliki gari ya Tsh 30m ni mtiti na wengi angalau mi wale wa mifumo ya uchelushaji ila Sisi machinga ni kazi sana

Are you being sarcastic?

Tatizo wabongo wengi wako insular.

Hata mtu akiwapa mambo ya kujiongeza muangalie mambo kwa upana zaidi, yani hata kama mna umasikini wa mali, enzi hizi za mitandao muondoe umasikini wa fikra, mnashindwa kujiongeza na mnarudi kule kule kwenye umasikini wa fikra.

Mtu anakupanua fikra uijue dunia, unamjibu "hapa Bongo...".

Mpaka hapo umeshindwa kujifunza somo kwamba hapo Bongo mnaweza kujazana ujinga kwa magari ya kuazima tu.

Ni ulimbukeni tu.

Albert Einstein alisema.

"No problem can be solved from the same level of consciousness that created it."

Wewe unazunguka katika consciousness ya kibongo na kiafrika, kimasikini, iliyotengeneza hili tatizo, mimi nakupeleka juu zaidi, hutaki kuelewa unarudi hapo hapo Bongo kwa kauli zako za "Hapa Bongo".

Haya matatizo ya shallowness, wanton celebrity worship, chasing shiny objects, ni matatizo ya kukosa elimu, matatizo ya umasikini, ni matatizo ya Status Anxiety. Ni ulimbukeni.

Mimi niliyemuona Mrs. Nimrod Mkono anakuja kwetu Oysterbay na Benz lake la chocolate anakutana na Benz la mama yangu la kijivu miaka hiyo ya 1980s ambayo kuwa na Benz ulitakiwa kuwa na kibali cha Ikulu, siwezi kushangaa Benz la Ommy. It's just a Benz.

Mimi niliyepanda G-Wagon la Mrs. Iddi Simba akitupeleka beach, miaka hiyo hata watu hawajui G-Wagon ni nini, siwezi kushangaa G-Wagon la Ommy. It's just a vehicle, a gas guzzling, environmentally unfriendly, status anxiety symbol, nouveau riche, look-at-me screaming one at that.

Kushadadia mtu kwa sababu kuona gari ni utajiri ni ulimbukeni tu.

Ndiyo hiyo mentality ya kibongo ya kuona kumiliki gari ni utajiri, wakati watu walioendelea wanaanza kufikiri ni jinsi gani wataondoka kwenye kutumia magari binafsi sana, watengeneze public transportation systems nzuri, magari yasichafue mazingira.

Watu walioendelea, waliostaarabika na kuelimika wakiliangalia hilo gari la 17 miles per gallon, wanaliona ni la uchafuzi wa mazingira tu, mtu hata kama ana hela anajiuliza kwa nini ninunue gari litakalochafua mazingira na kuongeza carbon emissions na kufanya dunia iwe na joto zaidi, kwa vizazi na vizazi, that is irresponsible.

Ila sisi kwa sababu tuko insular, tuko monkey see monkey do, tunagezageza tu, hatuna uwezo wa kufikiria mambo hayo yote.

Na hata akitokea ntu wa kutuongeza, kutupa zeitgeist inaendaje sasa duniani, tunamrudisha na hoja zetu insular "hapa Bongo...". For most, Bongo is the only thing we know.

Tunakuwa kama watu waliozoea kukaa karibu na cjoo kinavhonuka.

Akija mtu kutoka sehemu tofauti akatuambia hapa mnavyokaa si sawa, mnavuta hewa inanuka mavi, hatumuelewi, tunamwambia hapa ndivyo tulivyozoea, tunaona kama anatutukana.
 
Haya matatizo ya shallowness, wanton celebrity worship, chasing shiny objects, ni matatizo ya kukosa elimu, matatizo ya umasikini, ni matatizo ya Status Anxiety. Ni ulimbukeni.
Jamaa unajua kitu aibisha, Sawa Bwana lakini sote si tunaishi?
 
Back
Top Bottom