Kuna muda kwenye mapenzi Tafuta mtu mwenye unafuu wa tabia zinazoweza kuvumilika ngumu kupata mkamilifu

Na usiombe ukapata mpenzi mlokole yeye mpk usiku anaenda kanisan kwenye maombi😂😂
Kuna kipindi huko arusha karatu , nilikua naishi kijiji kimoja karibu na kanisa lao , sasa nilikua na shamba la mahindi halafu mbele yake ndio kanisa .

Siku moja kulikua na mkesha wa maombi kwa walokole wote usiku kucha , kesho asubuhi nazunguka shambani nitafute mhindi wa kuchoma nakutana na mipira ya ndom used kama 50 na kujisaidia wamejisaidia humo humo🚮
 
Samaki mmoja akioza haimaanishi wote wameoza
 
Kuna kipindi huko arusha karatu , nilikua naishi kijiji kimoja karibu na kanisa lao , sasa nilikua na shamba la mahindi halafu mbele yake ndio kanisa .

Siku moja kulikua na mkesha wa maombi kwa walokole wote usiku kucha , kesho asubuhi nazunguka shambani nitafute mhindi wa kuchoma nakutana na mipira ya ndom used kama 50 na kujisaidia wamejisaidia humo humo🚮
😂😂😂waliona shamba linahitaji mbolea
 
Back
Top Bottom