Kuna muda lafudhi zinakuwa zinakata vibe

[emoji23][emoji23] sema tunaishi nao.
 
Manyara hapana kwakweli upande wangu.Wote tulioanza kuongea lugha zetu za asili ndiyo tukaja kufahamu kiswahili,tuna mtihani mkubwa upande wa lafudhi.
Aisee mzee ndio mlikuwa mkienda shule mnaambiwa marufuku kuongea kilugha[emoji23][emoji23]
 
Kwakweli Kagera kwa lafudhi nibaya na inakera zaidi ukikutana na much know halafu aongee kiswanglish, inatia hasira sana
Nilipanda basi kuelekea Kagera yule mdada na lafudhi yake ya kihaya akaniuliza eti kaka unajuwa kusoma.
 
Na huko kote hawachangamani na wenyeji hadi lafudhi inakuwa ya kisukuma japo hajazaliwa usukumani....Duh
 
Lafudhi mbaya Afrika kwa mademu.

1. Wakurya
2. Wachaga
3.Wahaya
4. Wamakonde na kusini yote
5. Kikuyu
6. Nijeria

Lafuzi zenye mzuka Afrika

1. Mabinti wa Tanga
2. Sukuma girls
3.Rwanda qeens
4
Wewe utakuwa msukuma, hakuna mtu anayependa lafudhi ya kisukuma labda awe msukuma mwenyewe
 
Hapo ndipo Waafrika tunapopotea. Wengine wanajifanya hata Kiswahili hawakijui vizuri wanatema yai hata kama kikoloni chenyewe ni cha kubangaiza. Kila mtu ana identity yake ikiwa ni pamoja na namna ya kuongea. Kama unavyoongea hakuakisi asili yako basi jua uchakopa utambulisho wa asili nyingine.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Na huko kote hawachangamani na wenyeji hadi lafudhi inakuwa ya kisukuma japo hajazaliwa usukumani....Duh
Wana vijiji vyao hawa jamaa, ni kama Wamasai tu. Wapo wanaochangamana,lakiniMsukuma ni Msukuma tu, lafudhi iko palepale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…