Kuna muda mapenzi yanahitaji uwe na roho ngumu ili yaende sawa

Duh...kaka we una PhD.am looking up to u ..navotamani kuwa jiwe ai...
 
Amen, thanks for the compliment.... Usijikaze kisabuni hadi ukarudi kwa muumba kizembe zembe, tafuta sub kwanza ndio umuache huyo unaemuita ng'ombe 😄
 
Umenikumbusha enzi hizooo nilizama kwa manzi mmoja hivi, basi alijiona Queen, pozi, maringo, viburi daah navumilia tu (nilikua maini, lol)
Gheto alikua anakuja fresh tu, tuna spend (alikua good on bed, damn!) basi akitoka hapo simu hazipokelewi mara hapatikani nikaona huu ubwege ufike mwisho sasa,
siku moja tu nilichukua maamuzi magumu na sikurudi nyuma, akaanza kusumbuka yeye nikawa firigisi, lol

Tangu niwe na huyu Mxhosa nimekua maini tena, kwenye mahusiano hua naangalia sana Heshima, nadhan mkiheshimiana mengine yatakua mteremko tu.
 
We ni mwanaume??? Nmeshtuka kidogo nianguke siku zote najua we she....
Btt: kuamua kusepa then ye ndio anaanza kuhangaika imekaa vema
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ujinga wakati wa kwenda sio wa kurudi.
 
hahahahah nimeipenda hiyo mm nataka niwe jabali kabisa manake hawa viumbe wakujifanya tumetoka ubavuni mwao huwa hawaishiwag vitimbwi...... usipokua kauzu wanakupeleka mpera mpera sana...
Inaonyesha umeteseka katika haya mambo sana!, sasa dhahiri umesha kuwa Sugu
 
Nimependa tu ROHO YA NYAU!
 
Sijui kwa nini,huyu mwandishi wa uzi,nimetokea tu kukipenda kila anacho kiandika, i wish one day nikutane au nionane nae,anaweza akanipa au akawa na good advise ya baadhi ya majanga yangu kwenye malovee,tena nimtafute kwa gharama zangu,au mwenye namba yake ya simu,anipm au yeye mwenyewe kama anaridhia hilo.
 
Tatizo lenu mnaishi na wasichana katika mahusiano hafu nyie hamuwapi assuarance ya kuwaoa, hapo ukipata kifaa kingine yeye unampiga teke, hafu unakuta na yeye alikuwa akiwaringia waoaji nao wameshapata wengine.
 
Hayo mapenzi ya kuringishiana ni vijana wa umri wa below 22 yrs, Nitongoze dem ameshainjikwa misumari ya kutosha hafu naye anizungushe kuhusu papuchi namuacha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…