fundi bishoo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 14,264
- 27,132
Eh bwana wakuu chaneli za pesa ni ngumu sana kuna muda mambo yanabana moka unatamani hata ungekua una imani ya kishirikina ukaroge ilimradi na mm nipate chaneli za pesa wazee mambo hayaendi ukiangalia vijana wenzetu wanafanya mambo ya maendeleo sisi tunakomaa kupambana lakini inakua ni kama tunawafanyia kazi watu wengine aisee tutakua saidia fundi mpaka lini?
Lakini tuna imani iko siku lakini dah mambo sio kabsa Unakaa unajiuliza hili swali lakn hupati majibu unajaribu kutafta chaneli lakini nako ni ngumu aisee inaumiza sana Kuna muda unatamani ubeti lakn unaona ni kupoteza muda maana unaweza weka odd 1 na bado ukaliwa yaan dah