Kuna muda unatamani kwenda kuroga kwa mganga ili nipate chaneli za pesa

Kuna muda unatamani kwenda kuroga kwa mganga ili nipate chaneli za pesa

ebhana wakuu chaneli za pesa ni ngumu sana kuna muda mambo yanabana moka unatamani hata ungekua una imani ya kishirikina ukaroge ilimradi na mm nipate chaneli za pesa wazee mambo hayaendi ukiangalia vijana wenzetu wanafanya mambo ya maendeleo sisi tunakomaa kupambana lakini inakua ni kama tunawafanyia kazi watu wengine aisee tutakua saidia fundi mpaka lini..? Lakini tuna imani iko siku lakini dah mambo sio kabsa Unakaa unajiuliza hili swali lakn hupati majibu unajaribu kutafta chaneli lakini nako ni ngumu aisee inaumiza sana Kuna muda unatamani ubeti lakn unaona ni kupoteza muda maana unaweza weka odd 1 na bado ukaliwa yaan dah
Twende tukaibe benki
 
Kweli mkuu siwez kwenda kwa mganga ika tu naamini iko siku mambo yatakua poa lkn ndo unabaki kujiuliza mpka lini na hasa ss familia za kimaskini unakuta bado wazazi wanakuangalia ww yaan mtu ndo kwanz una miaka 20-25 halafu wazazi wanakuangalia ww uwasaidie mkuu inaumiza sna apo hujakutana na changamoto za ujana
Dah ukweli kbsa mkuu.Unakuta bado ujajipata ila una majukumu tayar hapo hata kumiliki demu ni ngumu chamuhimu Mungu atusaidie tupate channel mpya yenye kipato ili tuhudumie familia zetu na ambayo utaitengeneza.
 
Nooo, hizo kumwaga damu sijui kafara ni propaganda tu, ila nidhamu ndio kafara kubwa kwa matajiri.
Kabsa mkuu ila day one mungu atatunyooshea mambo yetu ila msoto tutakula sana aisee
 
Back
Top Bottom