Kuna muda unatamani kwenda kuroga kwa mganga ili nipate chaneli za pesa

Kuna muda unatamani kwenda kuroga kwa mganga ili nipate chaneli za pesa

Kweli mkuu kulala njaa mara chache ika kuna muda mkuu unakata hata mwezi simu haziiti zikiita n za elf5 ukipt 10 hapo una majukumu kama yote wazazi wankutegemea uwapge tafu, kuna ndg pia japo hawa sio wa maana tunawatupa lkn kuna time unajiuliza nitakua saidia fund mpaka lini..? Unafanya kazi ngumu pesa hakuna kuna malengo ambayo wazaz wako wamefeli kuyafanikisha unakuta ww unaendeleza pale walipoishia sio kama familia yako itakushka mkono hapana
Sijajua haswa ni fundi kwa fani gani, lakini kwa vyovyote fundi bila kuongeza thamani unaweza ukabaki kuwa fundi msaidizi wakati wote.
Sote tumepitia kuwa saidia fundi, hio ni kwa sababu huyo fundi nae alikua msaidizi pia ila alijiongeza na kukuza thamani ya ufundi wake na akapata connection kubwa badala ya kufanya kazi mwenyewe akatafuta wasaidizi.

Huko kufanya kazi na fundi ndiko kunakokupa conection, huko kufanya kazi na fundi ndiko kunakupa uzoefu, kunakukutanisha na watu wengi wakiwemo mafundi wengine wenye conection kubwa,

Katika tasnia nzima ya ufundi huwezi kufanya kazi peke yako ni lazima uwe na mjumuiko wa mafundi wengine wengi ili kazi iwe bora, usione shida kufanya kazi za usaidizi kwa sababu ndio mzunguko wa ufundi ilivyo.

Cha kufanya katika kile unachokifanya fanya kama chako, kiongezee thamani, jifunze mbinu mpya za kiufundi.

Nasisitiza kuongeza thamani kwa sababu ukiwa wa thamani hata fundi akikuhitajia kwa kazi yake, kama ulikua wa kumi atakulipa kumi kushuka chini, ila ukiongeza thamani ukawa wa mia basi hata malipo yako yatakuwa ni mia mia hivi.

Ukiisha kupata thamani anza kuweka mikakati ya kuwa na ofisi yako.
Ukiwa na ofisi hali wewe ni fundi utakua unapata kiasi kikubwa sana cha faida .

Ujue kuna watu wana ofisi za kiufundi lakini sio mafundi ila wana mitaji na connection, hao ndio wanaowatuma mafundi na kuwalalia sana, imagine wewe ni fundi, una mtaji una conection! Lazima upige hatua nyingi sana mbele.

La muhimu pia achana kuwa kama mshumaa kubwa angaza wengine hali wewe unateketea , hao ndugu jamaa na marafiki na pengine wazazi wawe sehemi ya mwisho kwenye mapato yako, kipaombele kwenye mapato yako kiwe nikiongeza thamani na kukuza mtaji.
 
Ukiona uchungu unazidi basi kuna fursa inakuita badala ya kulalamika mitandaoni embu jifungie katika chumba chako cha ndani umuulize Mungu wako kwa imani yako.

Ni wapi anataka kukupeleka.

Kuna fursa gani huioni.

Nadhani inaweza kuwa msaada zaidi na kukupa amani moyoni.
Wewe amekupa hiyo fursa mara baada ya kujifungia ndani ukamuuliza Mungu wako?
 
Mimi natamani kuwaloga DP world wasichukue bandari yetu. Na mshirika wake apigwe kipapai ahamie Dubai
 
Eh bwana wakuu chaneli za pesa ni ngumu sana kuna muda mambo yanabana moka unatamani hata ungekua una imani ya kishirikina ukaroge ilimradi na mm nipate chaneli za pesa wazee mambo hayaendi ukiangalia vijana wenzetu wanafanya mambo ya maendeleo sisi tunakomaa kupambana lakini inakua ni kama tunawafanyia kazi watu wengine aisee tutakua saidia fundi mpaka lini?

Lakini tuna imani iko siku lakini dah mambo sio kabsa Unakaa unajiuliza hili swali lakn hupati majibu unajaribu kutafta chaneli lakini nako ni ngumu aisee inaumiza sana Kuna muda unatamani ubeti lakn unaona ni kupoteza muda maana unaweza weka odd 1 na bado ukaliwa yaan dah
 
Umeshajaribu utajir wa punje za kuku Mkuu,miaka yako miwili unakula mpk Rihanna halafu Christmas yako ya pili unavuta pumzi chapuu tu kwa haraka
 
Fundi bishoo anaenda site kavaa jinsi yake na raba za VANS au converse all star just imagine

Kapiga na cap yake ya new York Yankees NY halafu anabeba tofali[emoji1787][emoji1787]
 
Utajiri mbona umejaa YouTube na google ni wewe tu bando lako kupakua maarifa
 
Back
Top Bottom