Kuna muda unatamani kwenda kuroga kwa mganga ili nipate chaneli za pesa

Kuna muda unatamani kwenda kuroga kwa mganga ili nipate chaneli za pesa

Serious mkuu..? Mm nataman hata nipate dili moja ya kupata hata 5 million aisee hata kuiba benki ntaenda ila kutoa jicho na kuuwa ndo sitoweza
Miye Kwa sasa nabeti japo loss ni kubwa kuliko faida,ila inaniweka mjini,nikipata mkwanja wa umaster kucha nakula,mambo yakiwa tight nabeti,nikipata ya vocha siku inapita,mhindi nikimpiga sana napata Naya kumpa shemeji yenu ahemee

Maisha tight siyo kwako tu,juzi mshahara umetoka,Leo ushaisha,aahaaaaa

Nimeshahemea vitu vya mwezi mzima,na nimeshsanunua vitu vya wanafunzi vya shule Jumatatu ijayo
Screenshot_20230626-152614.png
 
[emoji28][emoji28] halafu kuna jamaa alituambia humu Shetani huja na gari yake mercedez nyeusi kaliiii kila jumatatu ni kweliii??
Sio kweli ni propaganda tu , ukifuatilia kwa kina hata huyo shetani hayupo kihivyo
 
Unaweza nisaidia kuqoute huo uzi mkuu sijawah kuuonaga

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Miye Kwa sasa nabeti japo loss ni kubwa kuliko faida,ila inaniweka mjini,nikipata mkwanja wa umaster kucha nakula,mambo yakiwa tight nabeti,mikipata napata ya vocha Naya kumpa shemeji yenu ahemee...
aah kuna muda hadi kwenye betings mambo yanagoma mkuu yaan nimesimama kubet nna week sasa naona hata akiba inakata 😄simu haziiti no matumaini kudadekii
 
Me too .
Ila brother binafsi nimekaa kwenye ufundi kwa miaka karibu 15 Sasa, ninachojua fundi ni mara chache sana kulala njaa, tuanzie hapo kwanza.
Kweli mkuu kulala njaa mara chache ika kuna muda mkuu unakata hata mwezi simu haziiti zikiita n za elf5 ukipt 10 hapo una majukumu kama yote wazazi wankutegemea uwapge tafu, kuna ndg pia japo hawa sio wa maana tunawatupa lkn kuna time unajiuliza nitakua saidia fund mpaka lini..? Unafanya kazi ngumu pesa hakuna kuna malengo ambayo wazaz wako wamefeli kuyafanikisha unakuta ww unaendeleza pale walipoishia sio kama familia yako itakushka mkono hapana
 
Me too .
Ila brother binafsi nimekaa kwenye ufundi kwa miaka karibu 15 Sasa, ninachojua fundi ni mara chache sana kulala njaa, tuanzie hapo kwanza.
Hongera mkuu,miye kutokana na mshahara kutokutosha ikabidi kile kipindi Cha korona ikabidi likizo nzima nikajifunza kupaka kucha na kubandika kucha

Niliona aibu mwanzoni,ila kwakuwa nilishachoka kufundisha twisheni ikabidi nikaze,nikatusua

Sasa hivi sikosei 2k za kupaka kucha,5k za kubandika kucha na utelezi juu
 
Hongera brother, hakuna kitu kinachogharimu vijana wengi kama kukosa uthubutu,kuwa na aibu na kutokujifunza vitu vipya hata kama ni vidogo kiasi gani

Mambo ya urembo ni dili sana siku hizi, ukiwekea mkazo ni kitu kinacho weza kukutoa kimaisha, cha kufanya ongeza thamani kwenye hiyo ya urembo, pata ubunifu mpya jifunze vitu vipya na ikiwezekana hiyo ya utelezi piga chini, itakuwekea uzito fulani.
 
Aahhaaaaaa,hapo kwenye utelezi nilikuwa nachangamsha genge tu
 
Back
Top Bottom