Lovie Lady
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 2,826
- 4,652
Kilimbatz akuuuuuuu nitue Babu me sio Jimama 🤣🤣🤣🤣🤣🤣👋Acha nirushe ndoani Kwa jimama humu jf,nadhani Lovie Lady atanifaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kilimbatz akuuuuuuu nitue Babu me sio Jimama 🤣🤣🤣🤣🤣🤣👋Acha nirushe ndoani Kwa jimama humu jf,nadhani Lovie Lady atanifaa
Unaweza nisaidia kuqoute huo uzi mkuu sijawah kuuonagaalfu Fundi bishoo tafuta ile thread ya mzee wao ni wao uisome vizuri kwa umakini utapata kitu if you're interested..
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Aah mi ni fundi mkuu serious hiko sio jina la utani😁😄😁Ngoja tuwe sirious kidogo, wewe ni fundi kweli fundi bishoo
😅😅 halafu kuna jamaa alituambia humu Shetani huja na gari yake mercedez nyeusi kaliiii kila jumatatu ni kweliii??Usajili upo daily.
Aah hapana mkuu mm nlishamalizanaga na shule kitambo sana nna dv4 yangu 😁😄Samahan mkuu kwa swali ili we ni graduate?
Kuna watu hata hawaoni hata huyo fundi wa kumsaidiaebhana wakuu chaneli za pesa ni ngumu sana kuna muda mambo yanabana moka unatamani hata ungekua una imani ya kishirikina ukaroge ilimradi na mm nipate chaneli...
Miye Kwa sasa nabeti japo loss ni kubwa kuliko faida,ila inaniweka mjini,nikipata mkwanja wa umaster kucha nakula,mambo yakiwa tight nabeti,nikipata ya vocha siku inapita,mhindi nikimpiga sana napata Naya kumpa shemeji yenu ahemeeSerious mkuu..? Mm nataman hata nipate dili moja ya kupata hata 5 million aisee hata kuiba benki ntaenda ila kutoa jicho na kuuwa ndo sitoweza
Sio kweli ni propaganda tu , ukifuatilia kwa kina hata huyo shetani hayupo kihivyo[emoji28][emoji28] halafu kuna jamaa alituambia humu Shetani huja na gari yake mercedez nyeusi kaliiii kila jumatatu ni kweliii??
Asante sana mkuu kwa kunitia moyo aisee mungu akubariki🙏kuna watu hata hawaoni hata huyo fundi wa kumsaidia
komaa ndugu yangu
Unaweza nisaidia kuqoute huo uzi mkuu sijawah kuuonaga
aah kuna muda hadi kwenye betings mambo yanagoma mkuu yaan nimesimama kubet nna week sasa naona hata akiba inakata 😄simu haziiti no matumaini kudadekiiMiye Kwa sasa nabeti japo loss ni kubwa kuliko faida,ila inaniweka mjini,nikipata mkwanja wa umaster kucha nakula,mambo yakiwa tight nabeti,mikipata napata ya vocha Naya kumpa shemeji yenu ahemee...
Asnte sana ngj nzamie humuNimestaarabika jioni sana, sasa rasmi niko mtaani
Miaka 35 imetosha mimi kuzunguka kwenye viunga vya ofisi mbalimbali za serikali nikiwa na vyeo tofauti tofauti ila haitoondoa ukweli kuwa mimi ni daktari wa binadamu . Ni miaka mitano nyuma ilinibidi kustaafu maana ulikuwa ni muda sahihi wa mimi kustaafu ila alisema muhaya mmoja iogope"...www.jamiiforums.com
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Unabetiji mkuu,tushirikishaneM
aah kuna muda hadi kwenye betings mambo yanagoma mkuu yaan nimesimama kubet nna week sasa naona hata akiba inakata 😄simu haziiti no matumaini kudadekii
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] halafu kuna jamaa alituambia humu Shetani huja na gari yake mercedez nyeusi kaliiii kila jumatatu ni kweliii??
Me too .Aah mi ni fundi mkuu serious hiko sio jina la utani[emoji16][emoji1][emoji16]
[emoji3577] pamoja fundiAsnte sana ngj nzamie humu
Kweli mkuu kulala njaa mara chache ika kuna muda mkuu unakata hata mwezi simu haziiti zikiita n za elf5 ukipt 10 hapo una majukumu kama yote wazazi wankutegemea uwapge tafu, kuna ndg pia japo hawa sio wa maana tunawatupa lkn kuna time unajiuliza nitakua saidia fund mpaka lini..? Unafanya kazi ngumu pesa hakuna kuna malengo ambayo wazaz wako wamefeli kuyafanikisha unakuta ww unaendeleza pale walipoishia sio kama familia yako itakushka mkono hapanaMe too .
Ila brother binafsi nimekaa kwenye ufundi kwa miaka karibu 15 Sasa, ninachojua fundi ni mara chache sana kulala njaa, tuanzie hapo kwanza.
Hongera mkuu,miye kutokana na mshahara kutokutosha ikabidi kile kipindi Cha korona ikabidi likizo nzima nikajifunza kupaka kucha na kubandika kuchaMe too .
Ila brother binafsi nimekaa kwenye ufundi kwa miaka karibu 15 Sasa, ninachojua fundi ni mara chache sana kulala njaa, tuanzie hapo kwanza.
Hongera brother, hakuna kitu kinachogharimu vijana wengi kama kukosa uthubutu,kuwa na aibu na kutokujifunza vitu vipya hata kama ni vidogo kiasi ganiHongera mkuu,miye kutokana na mshahara kutokutosha ikabidi kile kipindi Cha korona ikabidi likizo nzima nikajifunza kupaka kucha na kubandika kucha
Niliona aibu mwanzoni,ila kwakuwa nilishachoka kufundisha twisheni ikabidi nikaze,nikatusua
Sasa hivi sikosei 2k za kupaka kucha,5k za kubandika kucha na utelezi juu
Aahhaaaaaa,hapo kwenye utelezi nilikuwa nachangamsha genge tuHongera brother, hakuna kitu kinachogharimu vijana wengi kama kukosa uthubutu,kuwa na aibu na kutokujifunza vitu vipya hata kama ni vidogo kiasi gani
Mambo ya urembo ni dili sana siku hizi, ukiwekea mkazo ni kitu kinacho weza kukutoa kimaisha, cha kufanya ongeza thamani kwenye hiyo ya urembo, pata ubunifu mpya jifunze vitu vipya na ikiwezekana hiyo ya utelezi piga chini, itakuwekea uzito fulani.