fundi bishoo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 14,264
- 27,132
Kemea kabisa... hiyo roho ya kukata tamaa na kuona njia ni moja ya kuroga ni ya kishetani. Utajikuta umeingia kwenye mtego wa kuua ndugu zako upate utajiri kumbe ndio unazidi kuangamia.ebhana wakuu chaneli za pesa ni ngumu sana kuna muda mambo yanabana moka unatamani hata ungekua una imani ya kishirikina ukaroge ilimradi na mm nipate chaneli za pesa wazee...
wataalamu waganga mkuu au wakukungwa tu?Pole sana ngoja nisikilize wataalamu watasemaje
tatzo tunaogopa kwenda uko mambo ya kuuwana ndo hatutaki mzee tuna imani tu na dear god ila mambo tightJaribu Freemason ndugu yangu
Kweli mkuu siwez kwenda kwa mganga ika tu naamini iko siku mambo yatakua poa lakini ndo unabaki kujiuliza mpka lini na hasa ss familia za kimaskini unakuta bado wazazi wanakuangalia ww yaan mtu ndo kwanz una miaka 20-25 halafu wazazi wanakuangalia ww uwasaidie mkuu inaumiza sna apo hujakutana na changamoto za ujanaKemea kabisa... hiyo roho ya kukata tamaa na kuona njia ni moja ya kuroga ni ya kishetani. Utajikuta umeingia kwenye mtego wa kuua ndugu zako upate utajiri kumbe ndio unazidi kuangamia...
Vipi mkuu wana usaili mpya?Jaribu Freemason ndugu yangu
Tunaamini iko hvo dadaangu lakn changamoto ni nyngi sana hasa ss tunaotokea kweny familia za chini kuna mda mambo yanakataa kila unapojarbu kutafta chaneli lkn unagonga mwamba kuna muda unamlilia mungu lkn hujibiw tunaamini wakat wa kujibiwa haujafka ila chngmoto ni nyng sister acha tuUkiona uchungu unazidi basi kuna fursa inakuita badala ya kulalamika mitandaoni embu jifungie katika chumba chako cha ndani umuulize Mungu wako kwa imani yako...
Mi sio bishoo mi saidia fundi tu mkuu ππ ubishoo bila hela uliona wapi ww
bado tunapambana mkuu tuna imani ila kuna muda mawazo hasi yanakujia unawaza itakua hv mpk linikusali, kwenda kwa waganga haitokusaidia....
weka mikakati, pambana kiume
Bahati mbaya hela haikai kwenye huruma na upendo, hela hukaa kwenye ukatili unyama na kila aina ya uovu, hela bila ya damu jasho na kila aina ya harassment ni ngumu sana kuipata.Tatzo tunaogopa kwenda uko mambo ya kuuwana ndo hatutaki mzee tuna imani tu na dear god ila mambo tight
Kwaiyo ww unataka kunambia umejiung na pesa za kumwaga damu..?Bahati mbaya hela haikai kwenye huruma na upendo, hela hukaa kwenye ukatili unyama na kila aina ya uovu, hela bila ya damu jasho na kila aina ya harassment ni ngumu sana kuipata.
Wataalamu wa humu jf au umesahau huku watu wanajua kila kituwataalamu waganga mkuu au wakukungwa tu..?
[emoji28][emoji28] jokes tu mkuu... mda wako ukifika mbona mambo yatanyooka tu so keep fighting...Mi sio bishoo mi saidia fundi tu mkuu [emoji1][emoji1] ubishoo bila hela uliona wapi ww
Aaah nikajua waganga wa jfππWataalamu wa humu jf au umesahau huku watu wanajua kila kitu
Pole sanaTatzo tunaogopa kwenda uko mambo ya kuuwana ndo hatutaki mzee tuna imani tu na dear god ila mambo tight