Kuna muda unatamani kwenda kuroga kwa mganga ili nipate chaneli za pesa

Chagua moja, kuwa moto au baridi.

Yaani kama unamsujudia Mwenyezi Mungu sujudu kweli kweli.Hakika mabadiliko utayaona.


Na kama umeamua kuwa mwanga wanga sana sana nako utaona mambo yake.


Choose either way.

Lakini ukiwa vuguvugu hutoboi.
 
Fundi tozi,shukuru hata wewe una kibarua,Kuna mwenzako yeye Kila akitafuta kibarua hapati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…