Kuna muda unaweza jisahau kumbe ACT Wazalendo ndio chama kikuu cha Upinzani kwa mizania ya uwakilishi maeneo mbalimbali kiuongozi

Kuna muda unaweza jisahau kumbe ACT Wazalendo ndio chama kikuu cha Upinzani kwa mizania ya uwakilishi maeneo mbalimbali kiuongozi

britanicca

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Posts
16,295
Reaction score
33,994
Kuna Muda nasahau kabisa nikidhani CHADEMA ndo chama kikuu cha Upinzani ndo mpaka nikumbushwe kwamba ni ACT Wazalendo.

Labda CHADEMA wakiwakubali wale 19 ndo itakuwa Chama kikuu cha Upinzani.

Isiwe Tabu sana tupiganie kushika madaraka kabisa.

Britanicca
 
Kuna Muda nasahau kabisa nikidhani CHADEMA ndo chama kikuu cha Upinzani ndo mpaka nikumbushwe kwamba ni ACT,

Labda Chadema wakiwakubali wale 19 ndo itakuwa Chama kikuu cha Upinzani!

Isiwe Tabu sana tupiganie kushika madaraka kabisa

Britanicca
Mkuu britanicca , naunga mkono hoja, ACT ndio chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania kwa sasa. Chadema ilikuwa ni zamani, sasa it's the past, imebaki historia tuu, and soon inakwenda 6ft under, tunaisahau!. Kwa sasa mambo yote ni ACT Wazalendo.
P
 
Tanzania bara na visiwani?
Kuna Muda nasahau kabisa nikidhani CHADEMA ndo chama kikuu cha Upinzani ndo mpaka nikumbushwe kwamba ni ACT,

Labda Chadema wakiwakubali wale 19 ndo itakuwa Chama kikuu cha Upinzani!

Isiwe Tabu sana tupiganie kushika madaraka kabisa

Britanicca
 
ACT ni mojawapo ya vyama vinavyounda serikali ya Zanzibar
 
Tangu lini ACT ni chama cha upinzani? Ukiwa kwenye coalition na chama kingine mkaunda serikali au sehemu ya serikali basi wewe sio 'mpinzani' tena, hauwezi kupinga sera za serikali yenu wenyewe.

CDM ndio chama kikuu cha upinzani, kiwe na wabunge au la. Kwa zaidi ya miaka 30 tokea 1960, chama cha ANC ndio kilikuwa chama kikuu cha upinzani / ukombozi, pamoja na kuwa kilikuwa kimepigwa marufuku na serikali na hakikuwa na mbunge hata mmoja.

Hata hivyo hatupaswi kushangaa michango ya watu kama akina Pasco, wamekuwepo muda mrefu jukwaani, sote tumepata muda wa kutosha kuwatambua kuwa ni watu wa aina gani.
 
Sasa Kwanini Vichwani CHADEMA imetutawala kwamba ndo chama kikuu cha Upinzani
Wana uwezo mkubwa sana wa prnpaganda; angalia wanavofanya siasa issue ya wabunge wa viti maalim wakati wenyewe hawajakamisha mchakato wa kuwafukuza.
Issue ya katiba utafkiri wako serious kumbe wanajua hawawez kupata katiba wakati ukawa wana 10% ya wabunge wa kuisemea, kuipigia kura na kuandika katiba, ccm wana 90% unawashawishi vip?
Issue ya chaguzi kisingizio ni tume huru wanashindwa vby badala ya kujitathmini wanakuja na simple reason, tume ya mahera, wakurupenz na policcm. Toka awamu ya tano wamekuwa wanakwepa chaguz za marudio mpaka ule wa tamisemi 2019. Ni mabingwa propbganda. Ndio maana tunafikiri eti ni chama kikuu
 
Kuna Muda nasahau kabisa nikidhani CHADEMA ndo chama kikuu cha Upinzani ndo mpaka nikumbushwe kwamba ni ACT,

Labda Chadema wakiwakubali wale 19 ndo itakuwa Chama kikuu cha Upinzani!

Isiwe Tabu sana tupiganie kushika madaraka kabisa

Britanicca
Kimakaratasi CHADEMA ni chama kikubwa zaidi of course kura za Lissu plus majimboni wanawaacha ACT zaidi ya kura 1.8m sasa unasemaje ACT ndio main opposition?

Unadai kujigawa zaidi.... Hvi ni chama gani zaidi ya CHADEMA chenye uwezo wa kusimamisha Mwenyekiti wa mtaa/kijiji walau 90% ya Tanzania? ACT tu ina wanachama laki 1 hao wagombea itawatoa wapi???

Bado hakuna mbadala wa CHADEMA ndio maana licha ya kuporwa majimbo yote bado tu ina wabunge 20!! Even though haiwatambui
 
Mkuu britanicca , naunga mkono hoja, ACT ndio chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania. Chadema ilikuwa ni zamani, sasa it's the past, kwa mambo yote ni ACT
P
Kwa kigezo kipi?
Wanachama; mkubwa ni CHADEMA
Wawakilishi; mkubwa ni CHADEMA
Kura za urais/ubunge; mkubwa ni CHADEMA
Utapakaaji wa chama; mkubwa ni CHADEMA
Fedha/capacity ya kupata funding; mkubwa ni CHADEMA

parameter zipi (ukiachana na ilani) ambazo ACT inamzidi CHADEMA?
 
Wakiwatoa wale covid19 wanabaki nambunge mmoja wakati wanao kama 7 au 8 hiv
Ukiwatoa? Wana kura million 2 za ubunge sasa unadhani hivo viti hata wasipotambha hizo kura za wabunge wa majimboni zitayeyuka??

Imagine una kura million 2 za ubunge alafu huna jimbo hata moja!! Ni rekodi hii haijawahi tokea duniani
 
Kuna Muda nasahau kabisa nikidhani CHADEMA ndo chama kikuu cha Upinzani ndo mpaka nikumbushwe kwamba ni ACT,

Labda Chadema wakiwakubali wale 19 ndo itakuwa Chama kikuu cha Upinzani!

Isiwe Tabu sana tupiganie kushika madaraka kabisa

Britanicca

Chama kikubwa cha upinzani Tanzania ni Chadema. Kama chaguzi zingekuwa halali hoja yenu ya ACT ingekuwa na mashiko lakini inaeleweka kabisa kwamba Chadema ndiyo chama kikubwa. Kigezo kwa Tanzania sio wawakilishi au wabunge kwasababu chaguzi iliyopita wabunge waliteuliwa na usalama wa taifa na Polisi. Chadema ina wanachama 7 million! na wanaongezeka kila siku. Hivyo Chama kikubwa ni kwa lipi wabunge au wanachama? Wabunge wenyewe ni wangapi? . Hayati Magufuli kwenye demokrasia tumuombee Mungu yule mzee asamahewe maana alifanya vibaya sana kwa nchi hii kwenye maswala ya haki tumsamehe tu bure.
 
Kuna Muda nasahau kabisa nikidhani CHADEMA ndo chama kikuu cha Upinzani ndo mpaka nikumbushwe kwamba ni ACT,

Labda Chadema wakiwakubali wale 19 ndo itakuwa Chama kikuu cha Upinzani!

Isiwe Tabu sana tupiganie kushika madaraka kabisa

Britanicca
Wewe unaweza usiamini au usijue Kama Chadema ndio chama kikuu Cha upinzani lkn mabosi wa CCM wanaamini hivyo.
Kwenye kampain kule Ushetu Kahama, mabosi wa CCM walikua hawakiongelei ACT japo ACT walisimamisha mgombea. Mabosi wa CCM walikua wanakiongelea Chadema tu ilhali Chadema hawakusimamisha mtu.
Kama huamini Chadema Ni kikali muulize afande Rama a.k.a Kingai.
Hata wanawake wakifanya jogging Tena na watoto mgongoni atatuma Nini kuwazuia. Nguvu inayotumika kuwazuia wanawake wasifanye jogging Ni kipimo tosha Cha ukubwa wa Chadema.
 
Mkuu britanicca , naunga mkono hoja, ACT ndio chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania. Chadema ilikuwa ni zamani, sasa it's the past, kwa mambo yote ni ACT
P
Kuna tofauti kati ya chama kikuu cha upinzani Bungeni na chama kikuu cha upinzani nchini. Kwa hoja yenu, kuanzia 2016 hadi 2020 chama kikuu cha upinzani Zanzibar kilikuwa ADC na sio CUF na baadae ACT Wazalendo?

Amandla...
 
Mkuu britanicca , naunga mkono hoja, ACT ndio chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania. Chadema ilikuwa ni zamani, sasa it's the past, kwa mambo yote ni ACT
P
Akili yako aisee.... some sh$@t ain't that tough to understand bro
 
Back
Top Bottom