britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
Mkuu britanicca , naunga mkono hoja, ACT ndio chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania kwa sasa. Chadema ilikuwa ni zamani, sasa it's the past, imebaki historia tuu, and soon inakwenda 6ft under, tunaisahau!. Kwa sasa mambo yote ni ACT Wazalendo.Kuna Muda nasahau kabisa nikidhani CHADEMA ndo chama kikuu cha Upinzani ndo mpaka nikumbushwe kwamba ni ACT,
Labda Chadema wakiwakubali wale 19 ndo itakuwa Chama kikuu cha Upinzani!
Isiwe Tabu sana tupiganie kushika madaraka kabisa
Britanicca
Sasa Kwanini Vichwani CHADEMA imetutawala kwamba ndo chama kikuu cha UpinzaniNaunga mkono hoja
mazoea yana taabu.Sasa Kwanini Vichwani CHADEMA imetutawala kwamba ndo chama kikuu cha Upinzani
Kuna Muda nasahau kabisa nikidhani CHADEMA ndo chama kikuu cha Upinzani ndo mpaka nikumbushwe kwamba ni ACT,
Labda Chadema wakiwakubali wale 19 ndo itakuwa Chama kikuu cha Upinzani!
Isiwe Tabu sana tupiganie kushika madaraka kabisa
Britanicca
Wana uwezo mkubwa sana wa prnpaganda; angalia wanavofanya siasa issue ya wabunge wa viti maalim wakati wenyewe hawajakamisha mchakato wa kuwafukuza.Sasa Kwanini Vichwani CHADEMA imetutawala kwamba ndo chama kikuu cha Upinzani
Kimakaratasi CHADEMA ni chama kikubwa zaidi of course kura za Lissu plus majimboni wanawaacha ACT zaidi ya kura 1.8m sasa unasemaje ACT ndio main opposition?Kuna Muda nasahau kabisa nikidhani CHADEMA ndo chama kikuu cha Upinzani ndo mpaka nikumbushwe kwamba ni ACT,
Labda Chadema wakiwakubali wale 19 ndo itakuwa Chama kikuu cha Upinzani!
Isiwe Tabu sana tupiganie kushika madaraka kabisa
Britanicca
Wakiwatoa wale covid19 wanabaki nambunge mmoja wakati wanao kama 7 au 8 hivTanzania bara na visiwani?
Kwa kigezo kipi?Mkuu britanicca , naunga mkono hoja, ACT ndio chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania. Chadema ilikuwa ni zamani, sasa it's the past, kwa mambo yote ni ACT
PKiukweli, Kama Sio Nguvu ya Soda, Then ACT ni Tishio. Hawa ni The Underdogs, Huwezi Kuwapuuza
Wanabodi, Tangu kuasisiwa kwa ACT, leo ndio mara yangu ya kwanza, mimi Paskali kuzungumzia lolote kuhusu ACT, kwa sababu, mimi ni muumini wa "Umoja ni Nguvu, Utengano ni Udhaifu". Naamini ushirikiano wa dhati wa upinzani na muungano wa wapinzani kuwa kitu kimoja na kusimamisha mgombea mmoja...www.jamiiforums.com
Ukiwatoa? Wana kura million 2 za ubunge sasa unadhani hivo viti hata wasipotambha hizo kura za wabunge wa majimboni zitayeyuka??Wakiwatoa wale covid19 wanabaki nambunge mmoja wakati wanao kama 7 au 8 hiv
Kuna Muda nasahau kabisa nikidhani CHADEMA ndo chama kikuu cha Upinzani ndo mpaka nikumbushwe kwamba ni ACT,
Labda Chadema wakiwakubali wale 19 ndo itakuwa Chama kikuu cha Upinzani!
Isiwe Tabu sana tupiganie kushika madaraka kabisa
Britanicca
😂Nadhani chama kikuu ninTLP
Wewe unaweza usiamini au usijue Kama Chadema ndio chama kikuu Cha upinzani lkn mabosi wa CCM wanaamini hivyo.Kuna Muda nasahau kabisa nikidhani CHADEMA ndo chama kikuu cha Upinzani ndo mpaka nikumbushwe kwamba ni ACT,
Labda Chadema wakiwakubali wale 19 ndo itakuwa Chama kikuu cha Upinzani!
Isiwe Tabu sana tupiganie kushika madaraka kabisa
Britanicca
Kuna tofauti kati ya chama kikuu cha upinzani Bungeni na chama kikuu cha upinzani nchini. Kwa hoja yenu, kuanzia 2016 hadi 2020 chama kikuu cha upinzani Zanzibar kilikuwa ADC na sio CUF na baadae ACT Wazalendo?Mkuu britanicca , naunga mkono hoja, ACT ndio chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania. Chadema ilikuwa ni zamani, sasa it's the past, kwa mambo yote ni ACT
PKiukweli, Kama Sio Nguvu ya Soda, Then ACT ni Tishio. Hawa ni The Underdogs, Huwezi Kuwapuuza
Wanabodi, Tangu kuasisiwa kwa ACT, leo ndio mara yangu ya kwanza, mimi Paskali kuzungumzia lolote kuhusu ACT, kwa sababu, mimi ni muumini wa "Umoja ni Nguvu, Utengano ni Udhaifu". Naamini ushirikiano wa dhati wa upinzani na muungano wa wapinzani kuwa kitu kimoja na kusimamisha mgombea mmoja...www.jamiiforums.com
Akili yako aisee.... some sh$@t ain't that tough to understand broMkuu britanicca , naunga mkono hoja, ACT ndio chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania. Chadema ilikuwa ni zamani, sasa it's the past, kwa mambo yote ni ACT