britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
- Thread starter
-
- #41
Ila pasko hahaMkuu britanicca , naunga mkono hoja, ACT ndio chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania kwa sasa. Chadema ilikuwa ni zamani, sasa it's the past, imebaki historia tuu, and soon inakwenda 6ft under, tunaisahau!. Kwa sasa mambo yote ni ACT Wazalendo.
PKiukweli, Kama Sio Nguvu ya Soda, Then ACT ni Tishio. Hawa ni The Underdogs, Huwezi Kuwapuuza
Wanabodi, Tangu kuasisiwa kwa ACT, leo ndio mara yangu ya kwanza, mimi Paskali kuzungumzia lolote kuhusu ACT, kwa sababu, mimi ni muumini wa "Umoja ni Nguvu, Utengano ni Udhaifu". Naamini ushirikiano wa dhati wa upinzani na muungano wa wapinzani kuwa kitu kimoja na kusimamisha mgombea mmoja...www.jamiiforums.com
Ndio hivyo tena, November 1 ni mjengoni!. Sitashangaa jengo akilizindua Mama!.Ila pasko haha
Kaka hv CHADEMA walikukoseaga niniMkuu britanicca , naunga mkono hoja, ACT ndio chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania kwa sasa. Chadema ilikuwa ni zamani, sasa it's the past, imebaki historia tuu, and soon inakwenda 6ft under, tunaisahau!. Kwa sasa mambo yote ni ACT Wazalendo.
PKiukweli, Kama Sio Nguvu ya Soda, Then ACT ni Tishio. Hawa ni The Underdogs, Huwezi Kuwapuuza
Wanabodi, Tangu kuasisiwa kwa ACT, leo ndio mara yangu ya kwanza, mimi Paskali kuzungumzia lolote kuhusu ACT, kwa sababu, mimi ni muumini wa "Umoja ni Nguvu, Utengano ni Udhaifu". Naamini ushirikiano wa dhati wa upinzani na muungano wa wapinzani kuwa kitu kimoja na kusimamisha mgombea mmoja...www.jamiiforums.com
Chadema hawajanikosea chochote, bali ndio mti wenye matunda!.Kaka hv CHADEMA walikukoseaga nini
It's the other way round!. Wazalendo wa kweli wa nchi hii wangependa nchi iwe na a healthy opposition ya kuipumzisha CCM, kwa huku bara, Chadema angalau angalau kimeonyesha dalili. Hivyo kinaponya silly mistakes, hatukiachi, tunakirudi kwa nguvu zote!.Mimi sio mwanachama wa CHADEMA na wala sina ndoto za kujiunga nao lakini comments zako juu yao ni kama huwa hauwakubali kabsaa
Siwaombei dua za kufa, bali nawapa just a wake up call to do the right thing tuwape ikulu yetu 2030Kwa lolote lile naimani utanijuza walikukwaza wapi wale viumbe wa MUNGU hadi kuwaombea dua za kufa kabsa.
Yohana Mtembezi anafanya kazi.Chadema hawajanikosea chochote, bali ndio mti wenye matunda!.
It's the other way round!. Wazalendo wa kweli wa nchi hii wangependa nchi iwe na a healthy opposition ya kuipumzisha CCM, kwa huku bara, Chadema angalau angalau kimeonyesha dalili. Hivyo kinaponya silly mistakes, hatukiachi, tunakirudi kwa nguvu zote!.
Siwaombei dua za kufa, bali nawapa just a wake up call to do the right thing tuwape ikulu yetu 2030
P
Sawa.kaka kama ni kwa nia.njema.Chadema hawajanikosea chochote, bali ndio mti wenye matunda!.
It's the other way round!. Wazalendo wa kweli wa nchi hii wangependa nchi iwe na a healthy opposition ya kuipumzisha CCM, kwa huku bara, Chadema angalau angalau kimeonyesha dalili. Hivyo kinaponya silly mistakes, hatukiachi, tunakirudi kwa nguvu zote!.
Siwaombei dua za kufa, bali nawapa just a wake up call to do the right thing tuwape ikulu yetu 2030
P
Sio swala la mazoea ni uhalisia wa hali halisimazoea yana taabu.
P
CHAMA KIKUU CHA UPINZANI HAKIWEZI KUWA CHAMA TANZU NA CCM hicho CHAMA SIO TENA CHA UPINZANIKuna Muda nasahau kabisa nikidhani CHADEMA ndo chama kikuu cha Upinzani ndo mpaka nikumbushwe kwamba ni ACT Wazalendo.
Labda CHADEMA wakiwakubali wale 19 ndo itakuwa Chama kikuu cha Upinzani.
Isiwe Tabu sana tupiganie kushika madaraka kabisa.
Britanicca
NaamNadhani chama kikuu ninTLP