Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mvua Kubwa sana inanyesha hapa usiku huu Nipo ndani lakini nahisi ni ya mawe,
Hata usingizi hauji kutokana na hofu.
Mvua ni kubwa kwa kweli kama itakuwa na madhara kesho tutapata taarifa rasmi.
Maji yata kufundisha wala huta vua ngua 😀!Naogopa maji mimi
Hakuna namna, inaweza kupiga ukajishangaa kitanda kipo mawinguni 😃😃 ukija kutua upo Tanga pangani hukoKwa hiyo mpo mnasubiria kimbunga?
Mrembo lala,saa hizi ni usiku wa manane ati!Haaaaa Haaaaa 😂 halooooo
Hata hapa pia ndio inakata Sahiv, ila ilitisha mzeeSasa hivi ni saa kumi usiku siku ya jumapili,sehemu nilizoweka viduara vyekundu kuna mvua na radi za kufa mtu kama mnavyoona kwenye picha za Satellite.
View attachment 1763108
Ngoja nikuletee Kilimanjaro ya baridi uweze kulala sasa!😄😄😄Hata hapa pia ndio inakata Sahiv, ila ilitisha mzee
Kwamba jobo ni mpango wa mabeberu kutudhoofisha kiuchumi [emoji1787][emoji2223][emoji2223][emoji2223][emoji2222][emoji2222][emoji2222]Dar nimewasha feni joto la kutosha
Sina wasiwasi na kimbunga kwani hii Ni vita ya kiuchumi sishangai
Moshi je?imenyesha?Duh basi hatari, hii mvua kubwa kiasi hiki haijafika huko?