Kuna Mvua kubwa sana Arusha. Mikoa mingine hali ipoje?

Kuna Mvua kubwa sana Arusha. Mikoa mingine hali ipoje?

Kuna mvua Kubwa sana inanyesha hapa usiku huu Nipo ndani lakini nahisi ni ya mawe,
Hata usingizi hauji kutokana na hofu.
Mvua ni kubwa kwa kweli kama itakuwa na madhara kesho tutapata taarifa rasmi.
Subirini msikie baadae balaa Kubwa ambalo huenda likaukumba Mkoa wa Dar es Salaam kutokana na hiki Kimbunga Jobo.
 
Yaani Kidimbwi palijaa bwanaaa. Aaanh. Mpaka asubuhi bahari shwari. Hat kaupepo hakakuwepo.
Na sasaiv nimetoka kwenye ibada shwari kabisa na dar es salaama yangu. I love you dsm
 
Back
Top Bottom