GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Subirini msikie baadae balaa Kubwa ambalo huenda likaukumba Mkoa wa Dar es Salaam kutokana na hiki Kimbunga Jobo.Kuna mvua Kubwa sana inanyesha hapa usiku huu Nipo ndani lakini nahisi ni ya mawe,
Hata usingizi hauji kutokana na hofu.
Mvua ni kubwa kwa kweli kama itakuwa na madhara kesho tutapata taarifa rasmi.
Hahahaaa hivi kumbe vita vya kiuchumi bado vinaendelea???Dar nimewasha feni joto la kutosha
Sina wasiwasi na kimbunga kwani hii Ni vita ya kiuchumi sishangai
Mpaka sasa Dar hali ni Shari ila kulikuwa na manyunyu katika baadhi ya maeneo.Subirini msikie baadae balaa Kubwa ambalo huenda likaukumba Mkoa wa Dar es Salaam kutokana na hiki Kimbunga Jobo.
Upo mwenyewe nini mama la mama, maafa yapo tu hasa upande wa uzazi ila maisha yataendelea tuKuna mvua Kubwa sana inanyesha hapa usiku huu Nipo ndani lakini nahisi ni ya mawe,
Hata usingizi hauji kutokana na hofu.
Mvua ni kubwa kwa kweli kama itakuwa na madhara kesho tutapata taarifa rasmi.
Oooh, nilipo tuma tu text kwenye saa kumi kasoro hivi ikaanza mpaka Sasa hivi japo sikubwa Ila inanyeesha, masaini huko maeneo ya loskito nasikia n vumbi haswaDuh basi hatari, hii mvua kubwa kiasi hiki haijafika huko?
Like chenye jina la bwa la bwana Yule wa mjengoniKwa hiyo mpo mnasubiria kimbunga?
Dar kimyaaa
Hamna hata manyunyu dar huku kigamboni
Hoja imepita bila kupingwaDar huku Mbagala ni joto la kufa mtu.
Me pia nipo hapa Arusha, mvua inaonyesha Sana. I bet mwambao wa pwani itakuwa zaidi
Huu ni uchochezi.huku Dar kuna bonge la mvua mafuriko kila kona jangwani sijui kama kutapitika
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuwe na tahadhari, hii inaweza kuwa ni CALM BEFORE THE STORM.Hamna hata manyunyu dar huku kigamboni
Hawajui mvua za new age zinaonyesha kwa matabaka ya eneo..!😁Arusha ipi wa ndugu,nipo USA kuanzia juzi hakuna hata tone la mvua
Sasa hivi ni saa kumi usiku siku ya jumapili,sehemu nilizoweka viduara vyekundu kuna mvua na radi za kufa mtu kama mnavyoona kwenye picha za Satellite.
View attachment 1763108