Co kada ya ualimu,watumishi wote.kada ya ualimu inaonekana Kwa sababu ya wingi waoHii kada ya ualimu ina nyanyasika halafu hakuna mtetezi.
Sent from my TECNO LA6 using JamiiForums mobile app
wanaojitambua hawafanyi huo ujinga wa kufanya KAZI NJE na mda wa KAZI,piga KAZI mda wa kazia tu ukiisha kapige mishe zingine,Kwa hali hii lini walimu tutaendesha. Subaru Forester!????huo ni ujinga,upumbavu,kwa nini muende jumamosi?Je Kuna posho hiyo juma mosi?Sheria za kazi zinakataa !!!mwambie mwalimu wako afanyeujasiriamali ziku za juma mosi
Wataendesha baskeli hadi pyu...mb ziote sugu.wanaojitambua hawafanyi huo ujinga wa kufanya KAZI NJE na mda wa KAZI,piga KAZI mda wa kazia tu ukiisha kapige mishe zingine,Kwa hali hii lini walimu tutaendesha. Subaru Forester!????
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuzaliwa duniani ni utumwa, haijalishi umejiajili au umeajiliwa. Kuns mtu kaandika hapa, kuna kituo cha mafuta kimefungiwa, kwa kuto uza mafuta kwa siku tatu, wanatakiwa wajieleze, kwa EWURA wasipoeleweka wanafungiwa mazima.Ajira ni utumwa
Wakati naleta mada hii nilijua kuwa mahanithi wapo tu hivyo hujanisumbua bado.
Ualimu na waalimu waheshimiwe. Hata Dkt Magunguli alikuwa mwl ila hata hakuwasaidia kabisa hata kidogo, na sasa top 5 wawili ni waalimu ila ndiyo hivyoNdo hivyo jamani!
Hilo ndilo linalotokea sasa hivi tunavyoongea huku mkoani kunakolimwa ufuta na korosho kwa wingi.
Ipo hivi, Ijumaa ya tarehe 01.09.2023 shule zilifungwa kwa mapumziko mafupi ya wiki mbili. Sasa katika shule hiyo walimu walikubaliana kuwa wawapumzishe watoto wote (yaani pamoja na darasa la nne na la saba (ambao wanasoma sana kutokana na kukabiliwa na mitihani) kwa siku mbili (Jumamosi na Jumapili) hadi Jumatatu ili mafunzo yaendelee, wakafunga shule jioni na kutawanyika.
Kumbe Jumamosi afisa elimu msingi kutoka halmashauri (manispaa) alifanya ziara ya ufuatiliaji na kufika shuleni hapo bila kuwakuta wanafunzi wala walimu akafura si mchezo. Akamuagiza chawa wake (afisa elimu kata) amuambie huyo mwalimu mkuu afike ofisini kwake saa mbili kamili siku ya Jumatatu (leo) akiwa na maelezo kamili ya kwanini watoto hawakuwepo shule siku hiyo. Maagizo yakaendelea kuwa kabla ya kwenda huko Jumapili afike kwanza kwa afisa elimu kata nako ate maelezo. La jumapili limepita na sasa mwalimu yupo ofisini kwa afisa elimu anatoa maelezo, imelazimu aache kufundisha kwa leo.
Jinsi anavyosafiri:
Kwa kutumia kamshahara kake
Status ya shule:
1. Wanafunzi 700+ (kuna awali na maalum)
2. Walimu 7 tu
3. Ebm kwa mwezi 300,000
Hali halisi ya maandalizi ya mitihani:
Drs la 4 na 7 wanasoma hadi saa 12 kila siku tangu mwaka huu uanze (nina mtoto darasa la saba hapo). Hakuna mchango, walimu wanajitolea tu.
Inavyokuwa misafara ya maafisa elimu:
1. Wanawekewa mafuta (ufuatiliaji)
2. Wanalipwa posho (ufuatiliaji)
😡😡😡
Hivi kitatokea nini ikiwa siku moja kuna mwalimu akatoa somo kwa kumchaanga makofi afisa elimu fulani kisha kumfungia store ya shule hadi atakapofuatwa na mkurugenzi wake au vyombo vya usalama? Inakera sana.
Muwe na asubuhi njema!
Kuzaliwa duniani ni utumwa, haijalishi umejiajili au umeajiliwa. Kuns mtu kaandika hapa, kuna kituo cha mafuta kimefungiwa, kwa kuto uza mafuta kwa siku tatu, wanatakiwa wajieleze, kwa EWURA wasipoeleweka wanafungiwa mazima.
Nadhani pia unaona akina Mwijaku, Baba Levo, Dotto magari kazi wanazofanya kwa wanaume wenzao, muhimu jali unachoingiza.
NImejibu neno, kuajiliwa ni utumwa, utumwa unaanza tu ukizaliwa na kuanza kujitegemea, hivyo hata kwenye sekta binafsi utumwa upo, ndiyo maana mtu unasikia anajieleza, mimi sikupenda kufanya hivi, ila Serikali, watu ama shida imenilazimu kufanya hivi.Ujaelewa, na wala huwezi elewa, hivi unafikiri mimi ningejieleza? Kwani Mwalimu mkuu hana observation ya hali ya wanafunzi wake akaamua wapumzike?
NImejibu neno, kuajiliwa ni utumwa, utumwa unaanza tu ukizaliwa na kuanza kujitegemea, hivyo hata kwenye sekta binafsi utumwa upo, ndiyo maana mtu unasikia anajieleza, mimi sikupenda kufanya hivi, ila Serikali, watu ama shida imenilazimu kufanya hivi.
Maafisa Watendaji wa kata au vijiji/mtaa huko wajikatia tamaa tuCo kada ya ualimu,watumishi wote.kada ya ualimu inaonekana Kwa sababu ya wingi wao
Hahaha ili Kulinda ukuu uendelee kubaki na posho ya madaraka iendelee.Si walimu wakuu mkiwa kwenye vikao vyenu vya kujipendekeza Kwa Maafisa elimu ndio huwa mnapropose kufundisha hadi Jumapili ili kuongeza ufaulu?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Binafsi sijawahi kuielewa elimu ya Tanzania kuanzia mifumo yake ya utendaji pamoja na uongozi.
Huwa naona matamko mengi lakini utekelezaji ni ziro kabisa, Kwa mfano huu utaratibu wa kusoma siku za weekend na siku za likizo umetoka wapi?
Kwanini kalenda ya masomo isizingatiwe? Kama kwa mwaka siku za masomo ni 194 kwanini zisifuatwe? Shida ni nini hasa???
Tunatengezeza taifa la hovyo kupita kiasi lililojaa uoga wa kila aina, Yaani viongozi , wazazi na wanafunzi wameshajiaminisha kuwa lazima kusoma muda mwingi eti ndio watafaulu, Huu ni ujinga na upumbavu wa hali ya juu.
Tuache elimu ya kukariri, tujifunze stadi na ufundi ili tuwe na kizazi imara.
Hii nchi upumbavu ni mwingi sana kwa kweli.