welding1682
JF-Expert Member
- Aug 20, 2019
- 2,151
- 4,681
Kama namjua vileHuyo hadi nimemwonea huruma. Kuna mbunge wa viti maalum kwa tiketi ya CHADEMA kutoka kaskazini.. nikiwa darasa la 3 yeye yuko la 7.
Nae pia kasotea sana ku-risiti kidato cha nne kwasababu wakati niko kidato cha nne bado alikuwa anarudia mtihani. Shukrani kwa kigogo wa CHADEMA aliyemsaidia kuingia kwenye siasa hadi kupenya kwenyw viti maalum ingawa wenyewe wanamwita Covid19 kwa sasa.