Imole JF-Expert Member Joined Jan 8, 2021 Posts 1,438 Reaction score 4,053 Jan 24, 2025 #141 Asalamaleko said: Ndoa ni upuuzi ushamba uoga utoto usengerema ushenzi ushetani... Mwanaume kuoa ni kupoteza maisha Click to expand... ππππ
Asalamaleko said: Ndoa ni upuuzi ushamba uoga utoto usengerema ushenzi ushetani... Mwanaume kuoa ni kupoteza maisha Click to expand... ππππ
N nanonya JF-Expert Member Joined Sep 3, 2014 Posts 238 Reaction score 388 Feb 23, 2025 #142 Half american said: Kasi ya kuchapiana ni kubwa sana na siri zote wanazo bodaboda. Click to expand... Boda wanasiri sana.
Half american said: Kasi ya kuchapiana ni kubwa sana na siri zote wanazo bodaboda. Click to expand... Boda wanasiri sana.
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 38,283 Reaction score 97,793 Feb 23, 2025 #143 nanonya said: Boda wanasiri sana. Click to expand... Boda akikwambia pale usiingie hapafai, msikilize
nanonya said: Boda wanasiri sana. Click to expand... Boda akikwambia pale usiingie hapafai, msikilize
S shamariwa chool JF-Expert Member Joined Dec 14, 2024 Posts 265 Reaction score 248 Feb 23, 2025 #144 Kijana masikini said: Leta mandazi Click to expand... ππ Kwa majibu yako nahsi wew ni yombo msukuma kabsaaa
Kijana masikini said: Leta mandazi Click to expand... ππ Kwa majibu yako nahsi wew ni yombo msukuma kabsaaa
B Bolotoba JF-Expert Member Joined Apr 24, 2024 Posts 3,424 Reaction score 7,706 Feb 23, 2025 #145 boghul said: Kuoa muhimu maana wahenga wanasema kuchapiwa ni siri ya ndani Click to expand... Vuta picha aliyemchapa mkeo ana nch 12 zote π€£
boghul said: Kuoa muhimu maana wahenga wanasema kuchapiwa ni siri ya ndani Click to expand... Vuta picha aliyemchapa mkeo ana nch 12 zote π€£
Tajiri Sinabay JF-Expert Member Joined Dec 25, 2024 Posts 1,333 Reaction score 3,619 Feb 23, 2025 Thread starter #146 shamariwa chool said: ππ Kwa majibu yako nahsi wew ni yombo msukuma kabsaaa Click to expand... π€£π€£π€£ Hapana mkuu ila jeiefu ndio inataka watu wa aina yangu.
shamariwa chool said: ππ Kwa majibu yako nahsi wew ni yombo msukuma kabsaaa Click to expand... π€£π€£π€£ Hapana mkuu ila jeiefu ndio inataka watu wa aina yangu.
S shamariwa chool JF-Expert Member Joined Dec 14, 2024 Posts 265 Reaction score 248 Feb 23, 2025 #147 Kijana masikini said: π€£π€£π€£ Hapana mkuu ila jeiefu ndio inataka watu wa aina yangu. Click to expand... Kwakweli πππ
Kijana masikini said: π€£π€£π€£ Hapana mkuu ila jeiefu ndio inataka watu wa aina yangu. Click to expand... Kwakweli πππ
W welding1682 JF-Expert Member Joined Aug 20, 2019 Posts 2,151 Reaction score 4,681 Feb 23, 2025 #148 Tatizo watoto wa kike waliolelewa na single wanayaanza mapenzi wakiwa na umri mdogo sana kutokana na tabia za mama zao, Single mother akijitaidi kulea anawapeleka watoto boarding.
Tatizo watoto wa kike waliolelewa na single wanayaanza mapenzi wakiwa na umri mdogo sana kutokana na tabia za mama zao, Single mother akijitaidi kulea anawapeleka watoto boarding.