Kuna mwamba usiku huu kaja kwa bimkubwa wake kumwabia mkasa alioufanya mkewe sasa hivi

Kuna mwamba usiku huu kaja kwa bimkubwa wake kumwabia mkasa alioufanya mkewe sasa hivi

Kabisa Kuna watu wanaamini hawachapiw thubutu 😀 wachache sana ambao hawafanyi hivo
Umenikumbusha kipindi nipo chuo kuna jamaa mmoja alikua kaoa , mke wake yupo chuo kingine huko mwanza , akatamba mke wake ni pisi kali na hakuna mtu wakuweza kumbabaisha , kwa sababu yeye ni HB na kwao mambo safi na mke wake ni mlokole, akagawa na namba kabisa .

Wahuni wakaunda tume ikachezwa game moja ya kiskofidi , akachaguliwa mnyamwezi mmoja kama masta plan , kilichotokea ilikua ni dizasta, mwamba akataka kujirusha ghorofani , akaokolewa na mwisho wa siku mpaka tunamaliza hatukuwahi kumwona tena.
 
Hiyo ndo Dunia yetu ya sahiz
Kaa chini na mkeo mwambie ukweli kuwa ajiheshimu ajitunze na achungevmagonjwa ni mengi mengine ni maamuz yake mwenyew kuamua kufanya au kuacha
 
Hiyo ndo Dunia yetu ya sahiz
Kaa chini na mkeo mwambie ukweli kuwa ajiheshimu ajitunze na achungevmagonjwa ni mengi mengine ni maamuz yake mwenyew kuamua kufanya au kuacha
Sio dunia yenu tu kipindi cha nyuma wazee walilijua hili nawalikua wanatumia busara tu, hata wakiwa warudi nyumbani wanakohoa kinafki tu ili kama kuna mtu akimbie kabla ya kukamatwa.
 
Kumbe muhuni inasemekana ilikuwa ni kawaida yake, wamama wa mtaani wakampanga mwamba na jana ndio arobaini ikatimia
 
downloadfile-1.jpg
 
Nyiie hii ni apdeti ya mwisho maana musijekusema sina kazi ya kufanya.

Yule mke karudi bwana, nahisi karudi jana usiku maana hii asubuhi naenda magahawani kucheki vitafunwa ndio nimemuona
Zamaulid Mpemba Mimi
 
Bora wewe muelewa. Kama mtu kacheat na akajisemea mwenyewe huku anatubu basi ni kweli anajuatia kitendo alichofanya. Anapaswa kusamehewa.
Labda ile anakucheat na kukudharau tena bila kujutia hapo unaweza kumpiga chini..

Sasa useme unamuacha mwanamke unayempenda uende kuchukua malaya kila siku si afadhali ubaki na hako kamalaya kako kamoja ukatulize?😀😀

Wakati mwingine ni kuteleza tu bahati mbaya.
Ukicheat huna msamaha kwangu,

Labda uwe umebakwa
 
Back
Top Bottom