min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Umenikumbusha kipindi nipo chuo kuna jamaa mmoja alikua kaoa , mke wake yupo chuo kingine huko mwanza , akatamba mke wake ni pisi kali na hakuna mtu wakuweza kumbabaisha , kwa sababu yeye ni HB na kwao mambo safi na mke wake ni mlokole, akagawa na namba kabisa .Kabisa Kuna watu wanaamini hawachapiw thubutu 😀 wachache sana ambao hawafanyi hivo
Wahuni wakaunda tume ikachezwa game moja ya kiskofidi , akachaguliwa mnyamwezi mmoja kama masta plan , kilichotokea ilikua ni dizasta, mwamba akataka kujirusha ghorofani , akaokolewa na mwisho wa siku mpaka tunamaliza hatukuwahi kumwona tena.