Kuna mwamba usiku huu kaja kwa bimkubwa wake kumwabia mkasa alioufanya mkewe sasa hivi

Kuna mwamba usiku huu kaja kwa bimkubwa wake kumwabia mkasa alioufanya mkewe sasa hivi

Sijajuwa maana ile mwamba kawakuta eneo la tukio Kwenye jumba flani la bloku halija malizika kujengwa
muhuni (mgoni) akawahi kuponyoka akalala mbele. Akabaki mkewe nahisi alishindwa kufanya chochote ndio akakimbilia hapa jirani kwa bimkubwa wake.

Hii asubuhi sijajuwa kinacho endelea bado maana ndio nimeamka sasa hivi na kuna mvua sijatoka nje
Hapo ukute jamaa ndondo kapu anazipiga sana akirudi uwanjani wa nyumbani anapoteza au anatoa sare kama timu yangu.

Ila ndondo ni tamu sana hakuna upungufu wa nguvu za kiume. Unapiga tatu za kuunganisha safi kabisa
 
Nyieee....
mnapoambiwa kataa ndoa (hasa kwa kijana unaejitafuta) muwe munaelewa.

Kuna mwamba kaja kwa bimkubwa wake (jirani yangu) hapa sasa hivi kumsimulia kwamba kamshika ugoni mkewe na muhuni flani hivi hana hili wala lile, kawakuta laivuuu bila chenga.

Kasimulia kwa uchungu sana hadi nimemhurumia huyu mwamba. Sasa stori zaidi nikwamba baada ya kusimulia akashikwa na kigugumizi hadi akashindwa kuendelea kutoa maelezo na akatoka anakimbia kwa kasi.

Sasa sijuwi kaenda kupiga mtu huko au kaenda kujidhuru mwenyewe sijuwi..

NDOA NI MAIGIZO YASIYO NA HELA
Dizasta vina
Basi kama ndo hivyo, ukitaka kwenda kijijini kwenu, nenda kwa miguu maana magari siku hizi yapinduka sana, usije ukafa,,

#KATAA KUPANDA GARI HATA KAMA KWENU SHINYANGA WEWE UPO DSM, GARI NI UMAUTI
 
Kama ni kuoa wewe oa tu naujue kabisa ipo siku utachapiwa na kuchapiwa isiwe kigezo cha wewe kukaza fuvu eti kuto kuoa .
 
Zaidi ya asilimia 60 wanawake wanacheat ni Kwamba hawajawah kukamatwa so atakufa tu Bure 😃ndio maisha yalivo
Yeah ndivyo ilivyo , mimi nawashauri vijana waoe angalau wanawake wajanja wanaoweza kuchapwa bila kumwaibisha tu mume wake , mengine ni magumu kama kutafuta tetere kwenye ndizi mbivu .
 
Mh! Ishu ya kuchapiwa naogopa Sana aisee inauma mno. Mimi niliambiwa wyf anachapwa na jamaa nikamwacha fasta. Rafiki yangu mmoja wakati ananitia moyo anadai wakati akiwa anarudi kwake usiku saa1 anakaribia kufika akili ikamtuma kukojoa pembeni ya barabara duh! Anakuta jamaa anapiga pushapu juu ya mke wake. Lkn hakufanya kitu jamaa Wala mkewe isipokuwa akavunja ndoa tu.

Sasa nikawa nawaza, Mimi kuambiwa tu niliumia vile inakuwaje kwa mtu anayefumania live hahaha!
 
Huyo alikua hajakua kiutimamu mpaka aoe,alikurupuka.
Sasa anamhadithia mama yake ili afanyaje?
Mwanaume ni maamuzi,alitakiwa awe ameshafanya maamuzi ya kiume,huyo mama yake alitakiwa aisikie majibu tu ndio akatafute chanzo kilikua nini?
Mavoko aliimbia"....kuchapiwa ni siri ya ndani...."
Nafikir wengi walichukulia juu juu hii kitu,au ni kijana wa 2k,haelew haya mashair yeye yuko busy na daimondiiiiii komasavaaaaaa eeeesavaaaaaa
 
Bora wewe muelewa. Kama mtu kacheat na akajisemea mwenyewe huku anatubu basi ni kweli anajuatia kitendo alichofanya. Anapaswa kusamehewa.
Labda ile anakucheat na kukudharau tena bila kujutia hapo unaweza kumpiga chini..

Sasa useme unamuacha mwanamke unayempenda uende kuchukua malaya kila siku si afadhali ubaki na hako kamalaya kako kamoja ukatulize?[emoji3][emoji3]

Wakati mwingine ni kuteleza tu bahati mbaya.
hapo hakuna kutubu , hapo , mwamba kaigiziwa na sasa anapigiwa nje anajisifia ujinga
 
Familia (ndugu zake) ina hangaika huku wanapigiana simu kuulizana jamaa yuko wapi wengine wameenda anakoishi mgoni wake pengine ndiko ambako kakimbilia.
waambie na bado, soon watamuona anaokota makopo huku mkewe akiwa amejituliza kwenye ndoa nyingine na mchepuko wake,....
 
Yeah ndivyo ilivyo , mimi nawashauri vijana waoe angalau wanawake wajanja wanaoweza kuchapwa bila kumwaibisha tu mume wake , mengine ni magumu kama kutafuta tetere kwenye ndizi mbivu .
Kabisa Kuna watu wanaamini hawachapiw thubutu 😀 wachache sana ambao hawafanyi hivo
 
Back
Top Bottom