Kuna mwamba usiku huu kaja kwa bimkubwa wake kumwabia mkasa alioufanya mkewe sasa hivi

Kuna mwamba usiku huu kaja kwa bimkubwa wake kumwabia mkasa alioufanya mkewe sasa hivi

Nyieee....
mnapoambiwa kataa ndoa (hasa kwa kijana unaejitafuta) muwe munaelewa.

Kuna mwamba kaja kwa bimkubwa wake (jirani yangu) hapa sasa hivi kumsimulia kwamba kamshika ugoni mkewe na muhuni flani hivi hana hili wala lile, kawakuta laivuuu bila chenga.

Kasimulia kwa uchungu sana hadi nimemhurumia huyu mwamba. Sasa stori zaidi nikwamba baada ya kusimulia akashikwa na kigugumizi hadi akashindwa kuendelea kutoa maelezo na akatoka anakimbia kwa kasi.

Sasa sijuwi kaenda kupiga mtu huko au kaenda kujidhuru mwenyewe sijuwi..

NDOA NI MAIGIZO YASIYO NA HELA
Dizasta vina
Jamaa bwege sana, anaenda hadithia uzaifu wake kwa mama ake
 
Nina Mke mmoja na Nina fikiria niongeze wapili huyu wa kwanza nilioa 2012 na migogoro ni ile ya kawaida sana hata wew na rafiki yako huwa Ina watokea na unaisolve kikawaida..

Nyie kataa ndoa sijui mna tatizo gani labda biologically Ila pesa sio tatizo
Umejibu vizuri mkuu.
Mh umeoa katika kipindi ambacho ulikuwa unajitafuta? (Kama nilivo ongeza hapo kwenye bandiko langu)
 
Tunataka kizalisha nankuenjoy maisha
Ah kumbe mnaogopa majukumu alafu mnapenda raha kuinjoy basi nikupe story mdau

Kuna kijana hapa mtaani ni mgeni sasa kila jioni akipita lazma ajipitishe hapa maskani, wife huwa nacheka nae sana so sometimes huwa tunaongea hadi ujinga ujinga.. basi wife akanipanga “unaona yule dogo ananifukuzia bn” nika sema “halaaa kumbe yule bwana mdogo”

Dogo napajua anapo ishi nikapita maskani nikaondoka na mwanangu mmoja anaitwa side wa kitaa tukatimba mpaka kwa yule dogo wanji wanji ni kwaamani kabisa

Mpaka geto kwake ngongongo dogo kafungua mlango akaitwa nje nilimwambia tu “mdogo wangu wewe ni mgeni hapa mtaani Mimi naitwa Mdudu huyu anaitwa side, mke wangu ndo yule unaye mpia misele pale maskani.. Ila Mimi sina mambo mengi nikisikia tena naku f*ra hapa hapa geto kwako”

Dogo aliamua kuoa maana mtaa alioingia watu hawana masihara
 
Mngemshika ili atulie kwanza. Haya mambo haya
Sikutoka nje na nisingeweza kutoka hata nisikie watu wanatiana visu hapo nje.
Nimshike ajifanye hasira arushe rushe mikono inipige hii asubuhi niamke na ngeu! Sababu mke wa mwingine kachapwa. Hapana kwa kweli.
 
Ukigundua mkeo anachapwa !sitisha mahusiano kama man watoto endelea kuhudumia familia halafu ingia mzigoni madem kibao wanataka Hela za Kodi ya nyumba,kusuka Tena Wana wivu kuliko mkeo!!

Ukiona vipi oa tena kama umemwelewa mmojawapo!!!

Usiwekeze hisia zako Kwa mwanamke mmoja atakutesa sana!

Ndivyo walivyo hao,tangu wajue biashara ya ukahaba inalipa wanatoa uchi wapate chochote bila kujali wameolewa au Wana mahusiano ,kifupi Kila dem anabei yake!ukifika bei anakupa bila kujali ana ndoa au lah!!
 
Back
Top Bottom