Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Atakayejaribu atashughuliwa hadi achakaeCCM inasema ina wanachama zaidi ya milioni kumi (10,000,000) nchi nzima. Kati ya hayo mamilioni ya wanachama yupo ambaye anaona Samia Suluhu hatoshi kwenye Urais, hivyo mwaka 2025 atachukua fomu kuchuana naye ndani ya CCM?
Au watu wote hao ndani ya CCM wanaona Samia Suluhu amekamilika kwenye urais wake alioupata kwa mujibu wa Katiba na si kwa kugombea??
Jee asingeupata Urais wake kwa mujibu wa Katiba, Mwaka 2025 wangemuacha agombee peke yake ili aridhi nafasi ya Mwendazake John Magufuli au wangempinga?
Nyumbani kwa Mufti? Au hujui ile ni mitaa ya Sheikh Zubery??Kwani pale mtaa wa ufipa wanasemaje
Aisee!!Hakuna labda kama hajitaki.
Ni genge la kigaidi kama bokoram tuAisee!!
Sasa kitakuwa ni chama cha siasa ama ni genge la wahuni?
Badala ya kujiuliza kuhusu Mbowe (mwenyekiti wa kudumu) wewe unang'ang'ana na Samia. Hapo ndipo unapokosea kamanda.CCM inasema ina wanachama zaidi ya milioni kumi (10,000,000) nchi nzima. Kati ya hayo mamilioni ya wanachama yupo ambaye anaona Samia Suluhu hatoshi kwenye Urais, hivyo mwaka 2025 atachukua fomu kuchuana naye ndani ya CCM?
Au watu wote hao ndani ya CCM wanaona Samia Suluhu amekamilika kwenye urais wake alioupata kwa mujibu wa Katiba na si kwa kugombea??
Jee asingeupata Urais wake kwa mujibu wa Katiba, Mwaka 2025 wangemuacha agombee peke yake ili aridhi nafasi ya Mwendazake John Magufuli au wangempinga?
CCM ni chama cha kudumu? Maana huwa mnasema mtatawala milele.Badala ya kujiuliza kuhusu Mbowe (mwenyekiti wa kudumu) wewe unang'ang'ana na Samia. Hapo ndipo unapokosea kamanda.
Aisee!!
Sasa kitakuwa ni chama cha siasa ama ni genge la wahuni?
Wana ccm wapo wengi wanaosubiri fomu za kugombea zitolewe nyingi.
Kwa kifupi maza hatoshi na haeleweki na kuna dalili anayeongoza ni mwingine asiyejulikana isitoshe dini yetu hainiruhusu
Unakuwa kama utopolo. Yaani wamepigwa kule Sudan wao wanaanza kumlaumu Mwamnyeto badala ya kujiangalia wapi wamejikwaa.CCM ni chama cha kudumu? Maana huwa mnasema mtatawala milele.
Sijui hata hiyo milele kama mnaijua. Mnapenda sana kukufuru MUNGU na yeye huwa anashughulika nanyi chap kwa haraka.
Ebu rudia tena! Nini?CCM inasema ina wanachama zaidi ya milioni kumi (10,000,000) nchi nzima. Kati ya hayo mamilioni ya wanachama yupo ambaye anaona Samia Suluhu hatoshi kwenye Urais, hivyo mwaka 2025 atachukua fomu kuchuana naye ndani ya CCM?
Au watu wote hao ndani ya CCM wanaona Samia Suluhu amekamilika kwenye urais wake alioupata kwa mujibu wa Katiba na si kwa kugombea??
Jee asingeupata Urais wake kwa mujibu wa Katiba, Mwaka 2025 wangemuacha agombee peke yake ili arithi nafasi ya Mwendazake John Magufuli au wangempinga?
Hakuna mwenye ubavu huo! Na huo ndio ukweli mchungu !!CCM inasema ina wanachama zaidi ya milioni kumi (10,000,000) nchi nzima. Kati ya hayo mamilioni ya wanachama yupo ambaye anaona Samia Suluhu hatoshi kwenye Urais, hivyo mwaka 2025 atachukua fomu kuchuana naye ndani ya CCM?
Au watu wote hao ndani ya CCM wanaona Samia Suluhu amekamilika kwenye urais wake alioupata kwa mujibu wa Katiba na si kwa kugombea??
Jee asingeupata Urais wake kwa mujibu wa Katiba, Mwaka 2025 wangemuacha agombee peke yake ili arithi nafasi ya Mwendazake John Magufuli au wangempinga?
Fomu zenyewe za mgombea kwa nafasi ya urais zipo kwa ajili mtu mmoja tu, sasa huyo mtia nia mwingine ambaye atataka kujitosa katika kinyang'anyiro ndani ya CCM atazipata nyingine wapi!?CCM inasema ina wanachama zaidi ya milioni kumi (10,000,000) nchi nzima. Kati ya hayo mamilioni ya wanachama yupo ambaye anaona Samia Suluhu hatoshi kwenye Urais, hivyo mwaka 2025 atachukua fomu kuchuana naye ndani ya CCM?