Rais Samia ana wasiwasi sana kuhusu watu ambao wana mipango ya kuwa rais hapo baadaye. Kwa hiyo hawa watu wanaonekana kama maadui.
Kwa hiyo waziri ambaye anatamani kuwa rais baadaye, yeye ni mhalifu. Lakini rais anatokana na mawaziri. Waziri na mtu mwingine yoyore wana haki ya kuwania urais. Lakini Rais Samia atasema,"Wengine wana hamu ya kuwa rais,nitawaondoa katika Cabinet yangu ili wapate nafadi ya kujiandaa kuwa rais."
I am writing this by way of observation not by way of criticism.
Sasa Cabinet inachelewa kutangazwa,fikiria hii inavyochochea majungu. Inachochea majungu,inaleta suspense. Do this thing and get it over with.
Ni kama wakati George Bush alipopendekezwa kuwa CIA Chief. Watu wakaanza kusema,tusimpe uongozi wa CIA. Kwani hatumjui huyu George Bush? Anatamani kuwa rais baadaye.
Ni lazima aahidi kwamba akiwa CIA Chief,baadaye hatawania urais. George Bush akasema Kama akitaka kuwa rais siku nyingine, Katiba haimkatazi. Sasa wanataka aahidi kitu gani? Na ilivyokuwa:akawa mkuu wa CIA na baadaye akawa rais.