4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
Wanaotamani aendelee 2025 ni wale wanufaika wachache ,ila ccm halisi wengi Hawana time nae, hatoshi pale, na hapatiCCM inasema ina wanachama zaidi ya milioni kumi (10,000,000) nchi nzima. Kati ya hayo mamilioni ya wanachama yupo ambaye anaona Samia Suluhu hatoshi kwenye Urais, hivyo mwaka 2025 atachukua fomu kuchuana naye ndani ya CCM?
Au watu wote hao ndani ya CCM wanaona Samia Suluhu amekamilika kwenye urais wake alioupata kwa mujibu wa Katiba na si kwa kugombea??
Jee asingeupata Urais wake kwa mujibu wa Katiba, Mwaka 2025 wangemuacha agombee peke yake ili arithi nafasi ya Mwendazake John Magufuli au wangempinga?