Kuna mwana CCM atagombea Urais mwaka 2025 dhidi ya Samia Suluhu?

Wanaotamani aendelee 2025 ni wale wanufaika wachache ,ila ccm halisi wengi Hawana time nae, hatoshi pale, na hapati
 
Shaka bin Hamdun!!
 
Huu uzi ni miongoni mwa athari za miaka 10 ya Kikwete ya kuendekeza usiasa badala ya kujikita kwenye kazi na uzalishaji mali halisi. Wao waliita kukua kwa demokrasia ila uhalisia ilikuwa ongezeko la vurugu, propaganda na ongezeko la vijana wavivu wanaowaza madaraka ya haraka kupitia uanaharakati.

Kila wakati watu waliwaza siasa, nani atakuwa nani, mara tu baada ya uchaguzi mkuu watu walianza kupanga na kujipanga nani awe nani miaka mitano ijayo. Ofisi za serikali wafanyakazi wa umma walispend mda mrefu kupiga soga za siasa na wanasiasa. Magazeti na vyombo vya habari rasmi na visivyo rasmi viliandika sana na kupaisha sana soga za style hii.

Naona huyu mleta mada bado anaishi kwenye hizo hangover za miaka 10 ya "demokrasia" ya Kikwete iliyokatishwa kwa muda na utawala usiyoendekeza hizi soga. Tunataka kurudi kule?
 
Badala ya kujiuliza kuhusu Mbowe (mwenyekiti wa kudumu) wewe unang'ang'ana na Samia. Hapo ndipo unapokosea kamanda.
Uwezo wenu ni mdogo sana kiakili. Mbona swali rahisi sana ila la muhimu? Hajauliza kugombea uenyekiti wa chama chenu chakavu kazungumzia u Rais jee mnaona anatosha? Wewe unakuja na ya Mbowe! Kwani Mbowe ni Rais?
Urais ni wa nchi na kila mtu anaweza kuhoji lakini kwenye chama kama hukubaliani na ukionacho unaachana nacho.
Acheni kutumia vichwa kufugia nywele kijana!

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Na huo ndio ubwege wenyewe! Yaani hata kama mtu mnaona kachoka na mambo yanakwenda hovyo kabisa kama ilivyo sasa bado hamuwezi kumtoa?
Kweli ukiwa ndani ya CCM lazima uwe ndani ya kundi hilo la ubwege, maana eti huwezi kufanya badiliko kwani kuna desturi inawaongoza.
Hao mnao waona wajanja Nape, Makamba, wabunge wote nk wapo kwenye kundi hilo hilo la ubwege maana bwege anaburuzwa na he/she can't do anything.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Wana ccm wapo wengi wanaosubiri fomu za kugombea zitolewe nyingi.

Kwa kifupi maza hatoshi na haeleweki na kuna dalili anayeongoza ni mwingine asiyejulikana isitoshe dini yetu hainiruhusu
Ikiwa aliyekuwa akionekana ni mukubwa aligwaya nani mwingine wa kushupaza shingo !! Labda wale ambao hawana kabisa kabisa cha kupoteza ambao watataka kujulikana kwenye media coverage πŸ˜… !! Hii inahesabiwa ni first term ya awamu ya sita kwahiyo mwingine kuchukua fomu itakuwa ni jambo lisilowezekana Chamani !! Maza yupo sana tu labda ashindwe na upinzani kwenye Uchaguzi kama utakuwepo !!
 
Huwezi zuia watu zungumzia Siasa ambayo hugusa Maisha ya watu ya kila siku,

Unaweza kubali au kataa alichoandika mtoa mada, ila huwezi zuia watu kuzungumzia siasa
 
Kwa CCM wanaotaka uRais ni mpaka 2030. Atakaye chukua fomu atataka tu kujifanyia publicity.
 
Asali tamu banaa !! Alijisemea muhindi !!
 
Njoo tulime huku. Kilimo kinalipa mno, Mhe. Rais kafungua masoko watu wanachangamkia fursa. Hizi hoja zako hazina maana.πŸ™πŸ™πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…