Yupo mchora miambaππCCM inasema ina wanachama zaidi ya milioni kumi (10,000,000) nchi nzima. Kati ya hayo mamilioni ya wanachama yupo ambaye anaona Samia Suluhu hatoshi kwenye Urais, hivyo mwaka 2025 atachukua fomu kuchuana naye ndani ya CCM?
Au watu wote hao ndani ya CCM wanaona Samia Suluhu amekamilika kwenye urais wake alioupata kwa mujibu wa Katiba na si kwa kugombea??
Jee asingeupata Urais wake kwa mujibu wa Katiba, Mwaka 2025 wangemuacha agombee peke yake ili arithi nafasi ya Mwendazake John Magufuli au wangempinga?
Akitokea mtu wa hivyo, huyo atakuwa sio mwana CCM, ni mfano CCM!. Hiyo fomu atachukulia wapi wakati inatolewa fomu moja tuu?.CCM ina wanachama yupo ambaye anaona Samia Suluhu hatoshi kwenye Urais, hivyo mwaka 2025 atachukua fomu kuchuana naye ndani ya CCM?
HAMIS KIGWANGALAH au PHD MSUKUMACCM inasema ina wanachama zaidi ya milioni kumi (10,000,000) nchi nzima. Kati ya hayo mamilioni ya wanachama yupo ambaye anaona Samia Suluhu hatoshi kwenye Urais, hivyo mwaka 2025 atachukua fomu kuchuana naye ndani ya CCM?
Au watu wote hao ndani ya CCM wanaona Samia Suluhu amekamilika kwenye urais wake alioupata kwa mujibu wa Katiba na si kwa kugombea??
Jee asingeupata Urais wake kwa mujibu wa Katiba, Mwaka 2025 wangemuacha agombee peke yake ili arithi nafasi ya Mwendazake John Magufuli au wangempinga?
Ni vema zikawa zinaletwa hoja kuliko kuleta hisia. Unataka tujadili nini?Rais Samia ana wasiwasi sana kuhusu watu ambao wana mipango ya kuwa rais hapo baadaye. Kwa hiyo hawa watu wanaonekana kama maadui.
Kwa hiyo waziri ambaye anatamani kuwa rais baadaye, yeye ni mhalifu. Lakini rais anatokana na mawaziri. Waziri na mtu mwingine yoyore wana haki ya kuwania urais. Lakini Rais Samia atasema,"Wengine wana hamu ya kuwa rais,nitawaondoa katika Cabinet yangu ili wapate nafadi ya kujiandaa kuwa rais."
I am writing this by way of observation not by way of criticism.
Sasa Cabinet inachelewa kutangazwa,fikiria hii inavyochochea majungu. Inachochea majungu,inaleta suspense. Do this thing and get it over with.
Ni kama wakati George Bush alipopendekezwa kuwa CIA Chief. Watu wakaanza kusema,tusimpe uongozi wa CIA. Kwani hatumjui huyu George Bush? Anatamani kuwa rais baadaye.
Ni lazima aahidi kwamba akiwa CIA Chief,baadaye hatawania urais. George Bush akasema Kama akitaka kuwa rais siku nyingine, Katiba haimkatazi. Sasa wanataka aahidi kitu gani? Na ilivyokuwa:akawa mkuu wa CIA na baadaye akawa rais.
Unamaanisha waliosema litachapishwa Jina moja zilikuwa blaa blaa?Rais Samia ana wasiwasi sana kuhusu watu ambao wana mipango ya kuwa rais hapo baadaye. Kwa hiyo hawa watu wanaonekana kama maadui.
Kwa hiyo waziri ambaye anatamani kuwa rais baadaye, yeye ni mhalifu. Lakini rais anatokana na mawaziri. Waziri na mtu mwingine yoyore wana haki ya kuwania urais. Lakini Rais Samia atasema,"Wengine wana hamu ya kuwa rais,nitawaondoa katika Cabinet yangu ili wapate nafadi ya kujiandaa kuwa rais."
I am writing this by way of observation not by way of criticism.
Sasa Cabinet inachelewa kutangazwa,fikiria hii inavyochochea majungu. Inachochea majungu,inaleta suspense. Do this thing and get it over with.
Ni kama wakati George Bush alipopendekezwa kuwa CIA Chief. Watu wakaanza kusema,tusimpe uongozi wa CIA. Kwani hatumjui huyu George Bush? Anatamani kuwa rais baadaye.
Ni lazima aahidi kwamba akiwa CIA Chief,baadaye hatawania urais. George Bush akasema Kama akitaka kuwa rais siku nyingine, Katiba haimkatazi. Sasa wanataka aahidi kitu gani? Na ilivyokuwa:akawa mkuu wa CIA na baadaye akawa rais.
Mgaambo wanaruka na kukanyagana, tena kinyama.Siku itatimia na itapita!
Mfumuko wa bei hautamuacha Rais Samia Suluhu salama isipokuwa Kama ataudhibiti kabla ya 2024.Mgaambo wanaruka na kukanyagana, tena kinyama.
Hivi unijua nguvu ua Rais chini ya katiba ai unjifanya hujui?Mi sielewi kwanini huyo mama anajisumbua. Hawi rais tena beyond huu urithi alioupata. Haihusiani na nani kawa waziri wapi, ila yeye kama yeye hapati chochote ziaidi ya kumalizia hadi 2025.
Tuombe uzimaHivi unijua nguvu ua Rais chini ya katiba ai unjifanya hujui?
Binafsi ninachotaka kuona ni Samia 2025 akizunguka mikoani na wagombea wengine kupata sahihi za wanaccm kufuatana na katiba ya chama kuchguliwa kama mgombea urais. Kama hataweza kupitia tanuru la huo mchujo basi asigombee aache ukumbi kwa wengine.CCM inasema ina wanachama zaidi ya milioni kumi (10,000,000) nchi nzima. Kati ya hayo mamilioni ya wanachama yupo ambaye anaona Samia Suluhu hatoshi kwenye Urais, hivyo mwaka 2025 atachukua fomu kuchuana naye ndani ya CCM?
Au watu wote hao ndani ya CCM wanaona Samia Suluhu amekamilika kwenye urais wake alioupata kwa mujibu wa Katiba na si kwa kugombea??
Jee asingeupata Urais wake kwa mujibu wa Katiba, Mwaka 2025 wangemuacha agombee peke yake ili arithi nafasi ya Mwendazake John Magufuli au wangempinga?
Naomba mungu iwe hivyo. Binafsi simuamini. Kiitikadi namuona ni bepari.Mi sielewi kwanini huyo mama anajisumbua. Hawi rais tena beyond huu urithi alioupata. Haihusiani na nani kawa waziri wapi, ila yeye kama yeye hapati chochote ziaidi ya kumalizia hadi 2025.
Mawazo mabovu kwa head of state. Hapo anatoa ishara gani kwa walio chini yake na yeye ndio rais. Unamsoma msimamo wake kiitikadi. Kiongozi mjamaa hawezi kuwaambia waliyo chini yake hivyo.πππ
View attachment 2505905