Kuna mwana MMU wa kike yuko Iringa Mjini aje hapa Miami pub?

Kuna mwana MMU wa kike yuko Iringa Mjini aje hapa Miami pub?

Mafinga kuna umeme wa kutosha usije kanyaga wayaa
In case hajaamini.....


Sema hii thread ukisoma hamu zote zinakata
 
"Tumeishi na watu ambao wanaotembea na umeme lakini bado nyumbani walikosa luku"...kaimba Kontawa
 
Haka kamji ni kazuri sana for sure..hakana makelele kama ya Dar,Mwanza au ARUSHA.

So like niko hapa since juzi but sina kampani ya kueleweka.

Kama kuna mwana MMU wa kike yuko iringa na she needs to have drink jioni ya leo akuje hapa miami club tuhave funny.

Asante
Acha kuteseka. Hizo pisi za Miami mbona ziko standard sana. Malizana nazo mambo yasiwe mengi
 
Back
Top Bottom