Kuna mwana MMU wa kike yuko Iringa Mjini aje hapa Miami pub?

Kuna mwana MMU wa kike yuko Iringa Mjini aje hapa Miami pub?

Haka kamji ni kazuri sana for sure..hakana makelele kama ya Dar,Mwanza au ARUSHA.

So like niko hapa since juzi but sina kampani ya kueleweka.

Kama kuna mwana MMU wa kike yuko iringa na she needs to have drink jioni ya leo akuje hapa miami club tuhave funny.

Asante
kwaiyo hata bar maid hujawao had utake mademu wa mitandaoni?
 
Kumbuka huko umeme haukatiki hata kuwe na bundi na ngedere.. kazi kwako
 
Back
Top Bottom