Kuna mwanasimba aliyemuelewa huyu Sadio Kanoute?

Huyo point namba tano nakubaliana na wewe kwa asilimia 1,000,000.

Na hiyo ndio sababu kubwa kushinda zote anazopaswa kukaa benchi!
 
Kanoute hafiki hata robo ya uwezo wa baraka gamba majogoro

Hiv mkuuu umecheza mpira kweli mm nimecheza Hiyo namba sita ndo hivyo inavochezwa huon namba sita wengi wako slow mkuuu kaz yao n kupooza mashambuliz na kukaba na kuilinda back four emb mwangalie himid mao ata bangala
 
Hata huyo Inonga wasingekuwa naye, maana waliomscout ni Yanga. Simba alikuja akabeba juu kwa juu. Hivyo, inatakiwa Simba ipate Mtaalam wa Scouting ya Wachezaji wenye viwango.
Chama nae aloscoutiwa na yanga na Miquissone, bwallya, onyango, mugalu, Lwanga, sakho etc. hawa wote ni yanga waliwascout simba wakaja wakapita nao tu juu kwa juu.

Huna hata aibu mzee [emoji1]

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Hiv mkuuu umecheza mpira kweli mm nimecheza Hiyo namba sita ndo hivyo inavochezwa huon namba sita wengi wako slow mkuuu kaz yao n kupooza mashambuliz na kukaba na kuilinda back four emb mwangalie himid mao ata bangala
Namba sita weng wapo shap ikitokea namba sita wazur alaf wapo slow ni sawa lkn weng wanabebwa na kasi ya namba 8 na kum pamoja na winga zao ile yanga msimu huu itasumbua zaid kwa sababu iyo eneo ambalo wamejarbu kulifanyia kaz ni kiungo una aucho bangala alaf feisal wana mchanganyiko fulan ambao msim ulioisha walikosa simba pamoja na kufanya ila ukwel hawana namba 6 wazur ila walikua na winga wazur namba kum na namba 8 wazur ,pamoja na ubora wa viungo namba sita au nane wa timu pinzan ukikutana na namba sita slow wakat wapinzan wana mtu mwenye kasi apo faulo zitakua nyng na mutafungwa tu ,kwa simba namba zao zao na nane wote wapo slow ndio maana mechi nyng ambazo zilikua na viungo wenye kasi simba zinawasumbua na apo tulikua na chama na luis kidogo ilisaidia kuwapoozesha wapinzan lkn kwa msimu huu kwa kutegemea wakabaji wale lwanga mzamiru mkude au uyo saidio ,timu nyng zitatusumbua kuanzia kat ,alaf hii kasi sio kasi ya kukumbia tu hawa kasi yao inaanzia ktk mikimbio kupokonya mipira kuutoa kwa haraka kujua eneo la hatari ndio maana unaweza kuona kiungo mkabaj hana kasi lkn ana akil kimoja wapo usikose au vyote
 
Chama nae aloscoutiwa na yanga na Miquissone, bwallya, onyango, mugalu, Lwanga, sakho etc. hawa wote ni yanga waliwascout simba wakaja wakapita nao tu juu kwa juu.

Huna hata aibu mzee [emoji1]

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Mkuu samahani kama nimekukwaza. Mimi nilikuwa natoa maoni kuhusu usajili wa mwaka 2021/22. Sijazungumzia trend za usajili wa kipindi kilichopita.
 
Namba sita weng wapo shap ikitokea namba sita wazur alaf wapo slow ni sawa lkn weng wanabebwa na kasi ya namba 8 na kum pamoja na winga zao ile yanga msimu huu itasumbua zaid kwa sababu iyo eneo ambalo wamejarbu kulifanyia kaz ni kiungo una aucho bangala alaf feisal wana mchanganyiko fulan ambao msim ulioisha walikosa simba pamoja na kufanya ila ukwel hawana namba 6 wazur ila walikua na winga wazur namba kum na namba 8 wazur ,pamoja na ubora wa viungo namba sita au nane wa timu pinzan ukikutana na namba sita slow wakat wapinzan wana mtu mwenye kasi apo faulo zitakua nyng na mutafungwa tu ,kwa simba namba zao zao na nane wote wapo slow ndio maana mechi nyng ambazo zilikua na viungo wenye kasi simba zinawasumbua na apo tulikua na chama na luis kidogo ilisaidia kuwapoozesha wapinzan lkn kwa msimu huu kwa kutegemea wakabaji wale lwanga mzamiru mkude au uyo saidio ,timu nyng zitatusumbua kuanzia kat ,alaf hii kasi sio kasi ya kukumbia tu hawa kasi yao inaanzia ktk mikimbio kupokonya mipira kuutoa kwa haraka kujua eneo la hatari ndio maana unaweza kuona kiungo mkabaj hana kasi lkn ana akil kimoja wapo usikose au vyote
umeelezea vizur Sana mkuu ukitolea mfano wa yanga aucho na bangala wanabebwa na feisal na feisal s namba sita n namba nane feisal alifosiwa na Zahera ukiangalia bangala na aucho hawapig pasi za kwenda mbele Sana utakuta wanarudisha kwa mwamnyeto Dickson na mabek wao wa pemben feisal huwa ana push Sana yuko more direct kwenda mbele na huwa anatoa pass za faida nying kwa yakuba na pengine ata kufunga
 
Aucho habebwi namutu ukipata mda angalia mechi za UGANDA
 
Kuna mashabiki wa Simba mna mawenge yaani ligi hata mechi kumi hazijafika kila mtu anajidai mchambuzi wa mpira. Kama unahsi kwenye mpira unatakiwa kila siku ucheze vizuri wewe na ushinde basi umepotea. Wapeni wachezaji muda wa kuonesha viwango vyao, mechi nne tuu uvumilivu umewashinda, wenzenu walikaa miaka minne wanataabika lakini bado walishikamana mpaka leo angalau wameanza kuona mwanga.
Mpira una kupanda na kushuka, hauwezi kuwa kwenye peak muda wote.
Wambie wafanye reference kwa Liverpool, wamekaa miaka mingapi hawajagusa taji la EPL.

Vipi leo Arsenal, Man United, Barcelona nao wamepoteza kabisa form.
 
umeelezea vizur Sana mkuu ukitolea mfano wa yanga aucho na bangala wanabebwa na feisal na feisal s namba sita n namba nane feisal alifosiwa na Zahera ukiangalia bangala na aucho hawapig pasi za kwenda mbele Sana utakuta wanarudisha kwa mwamnyeto Dickson na mabek wao wa pemben feisal huwa ana push Sana yuko more direct kwenda mbele na huwa anatoa pass za faida nying kwa yakuba na pengine ata kufunga
Bangala anabebwa na Feisal?

Aucho Leo abebwe na Feisal?

Hivi uwa mnaangalia mpira kweli
 
Hivi huwa unaangalia mpira?
Mechi inachezwa unaona ni kanuote na Inonga tu ndio wanaocheza mpira ( mfano dhidi ya polisi).
Kiungo kwenye double pivot unataka awe na kasi aipeleke wapi ya kazi gani?
Huoni kuwa ikitakiwa kudribble anafanya hivyo vizuri kabisa?
Eti mkimya, ulitaka awaje sasa? Awe anapayuka kifaransa humo si watu watamuona chizi.
Alafu unajipambanua kama shabiki wa Simba, Simba ipi unayoshabikia wewe?
Well sayed...
 
Back
Top Bottom