Kuna mwenye undani wa ROSE & NICK SHABOKA?

Achana na hivi vikanisa vya watu binafsi na mitume utakuja kunishukuru baadae...hilo kanisa linapendwa sana na vibinti hasa waliopitia changamoto za mahusiano ya kimapenzi au ndoa naona ndio centre ya faraja yao..
 
Wewe kichwa.

Mimi siko kuupinga ukristo mm ni mkiristo tena nimeokoka.

Nipo hapa Kujenga na Kusaidia katika maisha ya imani.

Nani amesema watumishi wa Mungu hawaongelewi.
Umeokoka kwenda wapi wewe kijana ?

Acha ubabaishaji
 
Tuor ni takataka gani wewe jamaa
Au ni jina la mumeo wa zamani ?

Punguza makasilko ungekuwa serious kusoma darasan kama unavyo soma coment za jf saiv usingekuwa mzigo kwenu na familia yako [emoji23][emoji23]….Chillax
 
Punguza makasilko ungekuwa serious kusoma darasan kama unavyo soma coment za jf saiv usingekuwa mzigo kwenu na familia yako [emoji23][emoji23]….Chillax
Nimekupata mzee wa tuor na coment.

Ukisikia paaaah ujue umekupata hiyo.
 
Nimekupata mzee wa tuor na coment.

Ukisikia paaaah ujue umekupata hiyo.

Punguza makasiriko joh stress zako sijakusababishia mm [emoji1787][emoji1787] kama umesoma na hauna Ajira relax [emoji23][emoji23]
 

Toa location ama jina la kanisa
 
Show kali hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…