Kuna mwenye undani wa ROSE & NICK SHABOKA?

Binafsi sina shida na Rose! Wakati mwingine focus kwenye kile unachoweza kupata kwake badala ya kutafakari maisha yake.

Nafikiri huko mitandaoni kungekuwa na wadada kumi kama yeye kuna wadada wengi wangebadilika.

Binafsi sifungwi nimsikilize nani akihubiri maana hutafuta kile kitachonijenga wakati mwingine hata shekhe. Siwezi kufunga akili yangu kuwa nitasikiliza akihubiri Padre wa Kanisa Katoliki tu! Kibinadamu wote sisi si lolote ni dhaifu. Kikubwa tuangilie pale mwenzako alipo na nguvu sio alipo dhaifu.
 
Mleta mada najua uko ma mashaka meng sana.

Pindi nlipokuwa namtafuta bwana sikuwa na mtizamo kama wako. Nlikuwa najichanganya kote kote nasikiliza neno ila sasa najua neno la kweli liko wapi na ni baada ya kujifunza kwa weng kwa kuwasikiliza na kusikiliza masomo na mahubiri yao.

Kuhusu sadaka mkuu usijewaza hilo. Sadaka hata kwa mganga inatolewa na Mungu wako mpe sadaka tena iliyo bora.
MAombi bila sadaka utakesha kuomba
 
Kama kweli ameokoka kwa nini atoe kitu alichokiumba Mungu hana tofauti na wanao enda kurekebisha shepu au wanaojichubua ngozi.
Binafsi sio wachungaji tu hata waimbaji wa nyimbo za Injili wakishavaa mawingi, weka dawa kwenye nywele, tinda nyuso, vaa nguo zinazofanana na kuonesha maungo, vaa,suruali na mwanaume pia akiwa hivyo huwa siwaangaliagi wala sikilizaga nyimbo na mahubiri yao. Yaani waimbaji au wahubiri hata wakijikatakata siwasikilizi..
 

Mungu anaonekana wazi hatafutwi
Mungu yuko kote
 
Muachani dada wa Watu jamani kaahhh!!
 
Kanisa lake bora Angeliita ladies church...yaani ukiangalia like na comments hata ziwe elfu moja huwezi kuta mwanaume ...wanawake waliopitia changamoto za mahusiano ndio kanisani lao...na anawapatia kweli na maneno...haya makanisani unajiuliza hivi hawa ni motivation speakers au wanahubiri injili....makanisa yanayokwenda na trend ya dunia ni hatari....
 
Yule mama shaboka ni mnafiki. Anatafuta umaarufu afanye biashara. Mimi niligundua alipokuwa anatukanana na watu kwenye face book page yake kisa wamechallenge. Bado ana utoto fulani.
 
Ukishakuwa public figure kubali criticism
 

Naona jana umeanza kwa Pastor Kapola. Leo umeamkia kwa Rose Shaboka.

Kesho kwa mwingine .

Listen, you are just an idiot. Lengo lako la kuwachafua Wakristo litagonga mwamba.

Huna unachokitafuta. Ni upuuzi tu na agenda zako za kipuuzi.

Asshole
Acha uongo Ukristo wa kweli haichafuki Bali matapeli ndio wanaochafuka
 
Ningeshangaa ikiwa hakuna dalali kama huyu humu jamvini.
 
Usiende hapo nenda kasali kanisa eagt city center kwa mchungaji katunzi,hapo ni mahali sahihi sanasana niamini
 
Hao ni moja ya watumishi wa Mungu ambao ni wanafiki.....wanahubiri ili kupata sadaka na sio kuyaishi mahubiri yao......

Mke wake na yeye mwenyewe ni wanafiki wa maneno na matendo yao......
Hakuna kitu kigumu kama unafiki...unacheka huku unalia
I can't jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…