MTAZAMO
JF-Expert Member
- Feb 8, 2011
- 19,675
- 33,583
Binafsi sina shida na Rose! Wakati mwingine focus kwenye kile unachoweza kupata kwake badala ya kutafakari maisha yake.
Nafikiri huko mitandaoni kungekuwa na wadada kumi kama yeye kuna wadada wengi wangebadilika.
Binafsi sifungwi nimsikilize nani akihubiri maana hutafuta kile kitachonijenga wakati mwingine hata shekhe. Siwezi kufunga akili yangu kuwa nitasikiliza akihubiri Padre wa Kanisa Katoliki tu! Kibinadamu wote sisi si lolote ni dhaifu. Kikubwa tuangilie pale mwenzako alipo na nguvu sio alipo dhaifu.