Kuna mwenye undani wa ROSE & NICK SHABOKA?

Kuna mwenye undani wa ROSE & NICK SHABOKA?

Aisee
1688496697643.jpg
 
Mwandiko wako/hiki ulichokiandika Unaonyesha jibu unalo tayari,ila unachotaka ni kusikia negative comments kutoka kwa wachangiaji ili uulidhishe moyo wako zaidi.

Wabongo tunapenda kusikia na kusimulia taarifa mbaya za wenzetu,tuna safari ndefu sana.
Inasikitisha sana
 
Naona jana umeanza kwa Pastor Kapola. Leo umeamkia kwa Rose Shaboka.

Kesho kwa mwingine .

Listen, you are just an idiot. Lengo lako la kuwachafua Wakristo litagonga mwamba.

Huna unachokitafuta. Ni upuuzi tu na agenda zako za kipuuzi.

Asshole
 
Naona jana umeanza kwa Pastor Kapola. Leo umeamkia kwa Rose Shaboka.

Kesho kwa mwingine .

Listen, you are just an idiot. Lengo lako la kuwachafua Wakristo litagonga mwamba.

Huna unachokitafuta. Ni upuuzi tu na agenda zako za kipuuzi.

Asshole
Wewe kichwa.

Mimi siko kuupinga ukristo mm ni mkiristo tena nimeokoka.

Nipo hapa Kujenga na Kusaidia katika maisha ya imani.

Nani amesema watumishi wa Mungu hawaongelewi.
 
Yaani hapo kwa shaboka wamejaa mabinti ambao wameumizwa sana na mahusiano, yule ni mtumishi wa kweli wa bwana ila delivery yake ya sermon imejikita zaidi na kuongelea experience na mawazo yake binafsi kutokana na uelewa wake wa mahusiano ya kimapenzi.

In short, i am not judging lakini ana sermon mbovu na haribifu sana kwa kizazi cha leo. She once said wamama wakiwa nyumbani wakae sitting room na night dress tu kwa wanaume zao regardless ya uwepo wa watoto, i then knew kwamba something was wrong somewhere.

And to add more, wengi wanasema she once had a very disasterful relationship, so maybe past trauma ndo zinamfanya awe na sermon za ajabu, Na wadada wanaoumizwa wanampenda sana maana wanaona ni kama survivor hivi wa mambo ya ajabu wanayopitia. Psychologically anawa exploit if you come to think of it. Anyways, sio kanisa sahihi kwa mtu anayejielewa kwenda kusali.
Kuna binti rafiki wa mbaali anasali pale, sisemi sana
 
Na hiki ndicho alichokikusudia mleta mada. Apate taarifa Kama hizi na umbea mwingine wa kuwachafua wahusika ili asikie burudani.

Watu weusi hatupendi ku-mind our own business.

Kuna mwingine anaitwa Genta Nini sijui kila jumapili anamwanzishia thread mwamposa.

Tuna Shida Sana !!
GENTAMYCINE aka gemu chenja, karismatiki, fela poti wa nyumbani huyu...🤣
 
Back
Top Bottom