Hiyo ilikuwa vuta nikuvute kichwa cha chini na kichwa cha juuDah! Ilibaki kidogo ni "disco" chuo mwaka wa tatu, nilipigwa supplementary, nikashindwa kuchomoa, nika carryover mwaka ujao. Course work tuu, akanikamata, nikashindwa kuchomoa. Kufuatilia kumbe Lecturer wa somo husika tulikuwa tunashea demu ambaye na yeye ni Ass Lecturer hapo chuo, alivyojua tunashea akapanga kunipiga "vyuma" supplementary kwenye somo lake ili nidisco chuo. Tulikuja malizana badae nikamwachia demu wake, maana kuna siku aliniita akanambia dogo umekuja hapa kusoma au kufanya mapenzi?
Utarudi kwa baba yako bila degree. Nikaona hapa noma, nikaachana na mapenzi nikaamua kusoma. 😊
Issue yako ni tofauti na yangu,mimi sio mwanafunzi,tumekutana nae mtaani tu.Dah! Ilibaki kidogo ni "disco" chuo mwaka wa tatu, nilipigwa supplementary, nikashindwa kuchomoa, nika carryover mwaka ujao. Course work tuu, akanikamata, nikashindwa kuchomoa. Kufuatilia kumbe Lecturer wa somo husika tulikuwa tunashea demu ambaye na yeye ni Ass Lecturer hapo chuo, alivyojua tunashea akapanga kunipiga "vyuma" supplementary kwenye somo lake ili nikishindwa kuchomoa, nianze upya kutafuta course work, nikishimdwa ni disco chuo. Tulikuja malizana badae ilibidi anichane maana tulipokuwa tunaenda nilikuwa na disco,n somo lenyewe DS, maana kuna siku aliniita akanambia dogo umekuja hapa kusoma au kufanya mapenzi? 😊
Akanambia utarudi kwa baba yako bila degree. Nikaona hapa noma, nikaachana na mapenzi nikaamua kusoma. 😊
Issue yako ni tofauti na yangu,mimi sio mwanafunzi,tumekutana nae mtaani tu.
Jiandae kusupp kwenye hayo mahusianoIssue yako ni tofauti na yangu,mimi sio mwanafunzi,tumekutana nae mtaani tu.
Hebu nipe mawasiliano yake ili nimshauri huyo Lecturer aache tabia yake mbaya ya kutembea na vijana wadogo wasio jiitambua.Kuna single mother mmoja nimemuotea mahali ni lecturer wa chuo kikuu kimojawapo hapa nchini.nimepiga mara moja lakini naona ameanza kuniganda,ila naona kama anajiheshimu flani hivi.
Kuna mwenye uzoefu wa kutoka na hao viumbe kimapenzi humu?