Mcheki Mwijaku anawafahamu.Kuna single mother mmoja nimemuotea mahali ni lecturer wa chuo kikuu kimojawapo hapa nchini.nimepiga mara moja lakini naona ameanza kuniganda,ila naona kama anajiheshimu flani hivi.
Kuna mwenye uzoefu wa kutoka na hao viumbe kimapenzi humu?